Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jamii yaaswa kulea yatima

JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kulea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wengi wao kutokuwa na wazazi huku walezi wao wakiwa hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji ya msingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JAMII YAASWA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA

 Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita akimkabidhi zawadi Blessing Kikoti mwanafunzi wa darasa la nne aliyefanya vizuri katika masomo yake kwa kuwa wa kwanza katika masomo. Mkuu Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita akihutubia.(picha zote na Denis Mlowe)  Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilolo Ulbad Wampemba akizungumza na watoto na wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika kiwalaya yalifanyika katika ofisi za kijiji cha Ilamba kata ya Dabaga tarafa ya Kilolo...

 

10 years ago

Habarileo

‘Jukumu la kulea yatima ni la kila mtu’

JUKUMU la malezi ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu nchini linapaswa kutekelezwa na kila Mtanzania pamoja na taasisi mbalimbali nchini ili kupunguza wimbi la wananchi tegemezi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kituo cha kulea tembo yatima kina tija kwa Taifa?

Katika hali ya kawaida, Watanzania wamezoea kusikia au kuona vituo vya kulea watoto yatima, ambavyo vimesambaa karibu nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WALEMAVU

   .Mkurugenzi wa Hazina Foundation William Mungai na mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Mufindi Community Walefare Amina Rajab wakikabidhi kabati likiwa na madawa mbalimbali kwa  kituo cha Makalala kilichoko mafinga liganga.  Mkurugenzi wa Hazina Foundation William Mungai na mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Mufindi Community Walefare Amina Rajab, wakiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi walemavu wa kituo cha Makalala kilichoko mafinga liganga.

NA DENIS...

 

10 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kupanda miti

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Solar Oven Society Africa limetaka jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kulinda na kuhifadhi mazingira na kuepusha nchi kugeuka jangwa.

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ lasherehekea Miaka 50 kwa kuvisaidia vituo vya kulea watoto yatima

Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Sarah Wambali akisoma risala ya kumkamribisha Mgeni rasmi katika hafla ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi hilo leo jijini Dar es Salaam, ambapo wanatarajia kutoa misaada ya vyakula na vifaaa mbalimbali kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu. Mkurugenzi wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi ambaye ni mgeni rasmi katika hafla ya...

 

10 years ago

GPL

JAMII YAASWA KUCHANGIA MAENDELEO YA ELIMU

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE) Prof. Emmanuel Mjema akizungumza wakati wa hafla ya kuwakaribisha waliokuwa wanafunzi wa chuo hicho waliohitimu miaka iliyopita wakati wa mwendelezo wa shughuli mbalimbali za chuo hicho kutimiza miaka 50.…

 

10 years ago

StarTV

Jamii yaaswa kuzingatia haki za watoto.

Na Marcus/Dida,

Mwanza.

 

Watanzania wameaswa kuzingatia haki za watoto za kupendwa, kusikilizwa na kupata stahili zote muhimu ili kupata Taifa lenye watu waliopata malezi mema.

Kukithiri kwa vitendo vya unyanyasaji wa watoto ni mfano mbaya kutoka kwa walezi ambao humsababishia mtoto huyo kuishi maisha ya huzuni na kisasi kwa aliyotendewa.

Ni wito kutoka kwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Mwanza Jude Thaddeus Ruwa’ichi wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Epifania iliyofanyika Parokia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kuhusu dawa ya meno

JAMII imeaswa kukagua dawa ya meno kabla ya kutumia kujiridhisha na ubora na viwango.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani