Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Jukumu la kulea yatima ni la kila mtu’

JUKUMU la malezi ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu nchini linapaswa kutekelezwa na kila Mtanzania pamoja na taasisi mbalimbali nchini ili kupunguza wimbi la wananchi tegemezi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kulea yatima

JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kulea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wengi wao kutokuwa na wazazi huku walezi wao wakiwa hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji ya msingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kituo cha kulea tembo yatima kina tija kwa Taifa?

Katika hali ya kawaida, Watanzania wamezoea kusikia au kuona vituo vya kulea watoto yatima, ambavyo vimesambaa karibu nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ lasherehekea Miaka 50 kwa kuvisaidia vituo vya kulea watoto yatima

Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Sarah Wambali akisoma risala ya kumkamribisha Mgeni rasmi katika hafla ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi hilo leo jijini Dar es Salaam, ambapo wanatarajia kutoa misaada ya vyakula na vifaaa mbalimbali kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu. Mkurugenzi wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi ambaye ni mgeni rasmi katika hafla ya...

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANAGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA

Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu  cha New Hope family   Maiko Lugendo ,( kulia) akimuonyesha  Afisa habari wa Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya  kwenye  kituo hicho kilichopo  Mwasonga  Kata ya Kisarawe 2  Kigamboni  jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA YA MWAKA: Kila kizazi kina jukumu lake kwa taifa husika

>Ndugu wasomaji wangu leo ninaanza safari mpya tena ndefu hasa kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ambao kimsingi ni mgumu sana, kwani rais wetu Profesa Jakaya Kikwete anaondoka na ni lazima tuchague rais mwingine.

 

10 years ago

CloudsFM

JOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME

Miss Tanzania namba mbili 2006, mwanamitindo na mcheza filamu, Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne, alipotembelea kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Zawadi alizotoa ni mchele, unga wa sembe, sabuni na ndala zenye nembo za Kidoti.Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne.

Miss Tanzania namba mbili 2006,...

 

10 years ago

Michuzi

Jokate atoa misaada kituo cha kulea Yatima cha Extreme kilichopo Tandale kwa Bi Mtumwa, Dar es salaam

MISS Tanzania namba mbili 2006, mbunifu mavazi na muigizaji wa filamu za kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, jana ilitoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Yatima cha Extreme kilichopo Tandare kwa Bi Mtumwa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mrembo huyo ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Kidoti inayojihusisha na masuala ya urembo, alitoa msaada huo kama zawadi yake ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa watoto hao kama sehemu ya kuwafariji ili nao kujiona wako sawa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ashiriki hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija

PG4A3915

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burudani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A4218

 Baadhi ya  washiriki wa maonyesho ya mavazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani