Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMII YAASWA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA

 Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita akimkabidhi zawadi Blessing Kikoti mwanafunzi wa darasa la nne aliyefanya vizuri katika masomo yake kwa kuwa wa kwanza katika masomo. Mkuu Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita akihutubia.(picha zote na Denis Mlowe)  Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilolo Ulbad Wampemba akizungumza na watoto na wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika kiwalaya yalifanyika katika ofisi za kijiji cha Ilamba kata ya Dabaga tarafa ya Kilolo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kulea yatima

JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kulea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wengi wao kutokuwa na wazazi huku walezi wao wakiwa hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji ya msingi.

 

10 years ago

StarTV

Jamii yaaswa kuzingatia haki za watoto.

Na Marcus/Dida,

Mwanza.

 

Watanzania wameaswa kuzingatia haki za watoto za kupendwa, kusikilizwa na kupata stahili zote muhimu ili kupata Taifa lenye watu waliopata malezi mema.

Kukithiri kwa vitendo vya unyanyasaji wa watoto ni mfano mbaya kutoka kwa walezi ambao humsababishia mtoto huyo kuishi maisha ya huzuni na kisasi kwa aliyotendewa.

Ni wito kutoka kwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Mwanza Jude Thaddeus Ruwa’ichi wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Epifania iliyofanyika Parokia ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu

JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

DC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira hatarishi

unnamed

Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.

Na Mwandishi wetu

Imeelezwa kuwa ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi, na si kuiachia serikali ama mashirika yasiyo ya kiserikali peke yao kufanya kazi hiyo

Kauli hiyo imetolewa...

 

10 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kupanda miti

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Solar Oven Society Africa limetaka jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kulinda na kuhifadhi mazingira na kuepusha nchi kugeuka jangwa.

 

10 years ago

Michuzi

JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WALEMAVU

   .Mkurugenzi wa Hazina Foundation William Mungai na mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Mufindi Community Walefare Amina Rajab wakikabidhi kabati likiwa na madawa mbalimbali kwa  kituo cha Makalala kilichoko mafinga liganga.  Mkurugenzi wa Hazina Foundation William Mungai na mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Mufindi Community Walefare Amina Rajab, wakiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi walemavu wa kituo cha Makalala kilichoko mafinga liganga.

NA DENIS...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

 Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro(wa tatu kushoto walioketi) na Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (wa pili walioketi kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa shirika la...

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kuhusu dawa ya meno

JAMII imeaswa kukagua dawa ya meno kabla ya kutumia kujiridhisha na ubora na viwango.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani