YAMOTO BAND WAELEKEA BONDENI KUFANYA VIDEO NA GODFATHER
Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Yamoto Band wakiondoka kuelekea SA kufanya Video na Godfather
Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO
10 years ago
Bongo512 Jun
Godfather kuongoza video ya Yamoto Band, Diamond aigharamia
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziYAMOTO BAND NA OMMY DIMPOZ KUFANYA MAONESHO MATATU DUBAI WIKIENDI HII
Alisema kuwa siku ya Ijumaa ambayo itakuwa machi 27,...
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Yamoto Band kufanya Live Show kwa mara ya kwanza kwenye jiji la London
YAMOTO BAND COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am, there are limited VIP Tables available book yours now for ultimate VIP treatment or individual place your booking early to avoid disappointment. Table bookings please call 07405824696/ WhatsApp +44755730494
info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com
Ukumbi wa Royal Regency ndio sehemu...
10 years ago
GPLYAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON
10 years ago
MichuziYAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA JIJINI LONDON FEBRUARI 21, 2015
info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com
Ukumbi wa Royal Regency ndio sehemu pekee...
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Yamoto kumrudia Godfather
Yamoto Band.
ANDREW CARLOS
Baada ya kutikisa na Video ya Cheza kwa Madoido,bendi inayotikisa Bongo,Yamoto inatarajia kurudi tena kwa mtayarishaji aliyewaandalia video hiyo, Mike Ogoke ‘Godfather’ kwa ajili ya video yao nyingine itakayotambulika kama Elea.
Meneja wa kundi hilo, Said Fella alisema licha ya hilo, pia kwa mara ya kwanza mashabiki wataisikia nyimbo hiyo Desemba 19, mwaka huu ndani ya Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
“Cha msingi ni kusogea Dar Live Desemba 19, kushuhudia...
10 years ago
Africanjam.Com