YAMOTO BAND NA OMMY DIMPOZ KUFANYA MAONESHO MATATU DUBAI WIKIENDI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-yH02uNgxR4o/VROWowdTnbI/AAAAAAAHNSc/QAHNt8Bx8-0/s72-c/DSC_0078.jpg)
BENDI ya muziki wa kizazi kipya ya Yamoto Band na Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Omary Nyebo 'Ommy Dimpoz', kesho wanatarajiwa kuondoka nchini kwenda Dubai katika falme za nchi za kiarabu (UAE) kwa ajili ya maonesho matatu tofauti nchini humo. Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella, alisema kuwa wanamuziki hao pamoja na Ommy Dimpoz, wataondoka majira ya saa 8 mchana na kurejea siku ya Jumatato mara tu baada ya maonesho hayo.
Alisema kuwa siku ya Ijumaa ambayo itakuwa machi 27,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7hRyefEXhvs/default.jpg)
10 years ago
MichuziYAMOTO BAND WAELEKEA BONDENI KUFANYA VIDEO NA GODFATHER
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Yamoto Band wakiondoka kuelekea SA kufanya Video na Godfather
Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO
10 years ago
Vijimambo13 Mar
HII NDIYO PROJECT YA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIVE BILA CHENGA
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/03/wwwwwwwwwwwwwwww.png?resize=473%2C245)
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/03/weee.jpg?resize=506%2C506)
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/03/wdddddddddd.jpg?resize=506%2C506)
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/03/bbbbb.jpg?resize=499%2C499)
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema
Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.
Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.
“Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna...
10 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Dec. 28)
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’
Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya Ommy Dimpoz iitwayo Achia Body. Hii ndio video ya single mpya ya Ommy Dimpoz baada ya kushine na video yake ya Wanjera. Enjoy hapa mtu wangu video yenyewe. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma […]
The post Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’ appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo530 Dec
Exclusive: Ommy Dimpoz aliwahi kulala jela Marekani, hii ni sababu (Video)
![12301302_781657848613350_1077518386_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301302_781657848613350_1077518386_n-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz amewahi kun*ea ndoo za gereza la Marekani.
Ni lini na kwasababu gani? Dimpoz amefunguka kwenye exclusive interview na Bongo5.
“Sikuwahi katika maisha yangu kufikiria kama ipo siku nitalala jela,” anasema. “Nililala jela kabisa na kubadilisha nguo kabisa nikavaa zile za orange, yaani kama Prison Break unavyoiona ile movie,” ameeleza.
Ommy Dimpoz amesema yote hayo yalitokea miezi kadhaa iliyopita alipokuwa ameenda Marekani kutumbuiza.
“Kosa lilikuwa kwamba nilikuwa naenda kwenye...