T.I ndiye msanii wa kimataifa atakayetumbuiza kwenye Fiesta ya Dar
Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I wa Marekani. T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo katika show ya mwisho ya msimu wa Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders October 18. T.I kwa sasa anafanya vizuri na single yake […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Jamtz.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-aSY8AfjTSpk/VCGQvStxfVI/AAAAAAAABKs/a4-S1676ki4/s72-c/web.jpg)
HUYU NDO MSANII WA KIMATAIFA ATAKAEPIGA SHOW FIESTA YA DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-aSY8AfjTSpk/VCGQvStxfVI/AAAAAAAABKs/a4-S1676ki4/s1600/web.jpg)
Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo weekend hii ni Mbeya na Songea, ametangazwa msanii wa kimataifa ambae ni rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es salaam October 2014 Leaders Club Kinondoni.
Rapper T.I ndio msanii wa kimataifa kwenye stage ya Fiesta October 18 2014 akiwa ni mkali ambae kwa sasa anamiliki chati za muziki kwa single yake ya No Mediocre
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Msanii wa Marekani T.I. kutumbuiza Serengeti Fiesta Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafala ya kumtangaza msanii wa Marekani TI ambaye atashiriki tamasha la Fiesta litakalofanyika mwezi ujao jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki wa Kimarekani katika miondoka ya Hip-hop ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki, mwigizaji na mwekezaji, Clifford Joseph Harris Jr, alimaarufu kama T.I. amethibitishwa rasmi na kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL)kama...
10 years ago
Bongo501 Nov
Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha
10 years ago
VijimamboSERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO
10 years ago
Bongo519 Oct
Videos: T.I., Davido, Waje, Diamond na wengine wakitumbuiza kwenye Fiesta Dar
10 years ago
Bongo520 Oct
Alichokisema Mwana FA baada ya kile alichokiona kwenye Fiesta Dar kuhusu wasanii wa Bongo
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s72-c/1.jpg)
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rIH0WR7WlvY/VEJ3RwGPZGI/AAAAAAAGrdI/URaG4XbjidI/s1600/3.jpg)
10 years ago
CloudsFM01 Apr
Ruby: Vanessa Mdee ndiye msanii ninayemkubali
MSANII zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva 2014, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money'.
Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake. “Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza Ruby....