Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coke Studio 2015


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Coke Studio Africa season three is on

>Following the success of Coke Studio Africa Season 2, The Coca-Cola Company, in partnership with Kenya Airways, is happy to announce the return of its flagship African music show for the 3rd  season.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Dewji Blog

Coke studio yaleta burudani nchini

dar coca 1

Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri.

-Mamia waburudika Coke Party mikoa ya Dar, Mwanza, Mbeya na Arusha

Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee, Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face.

Baada ya uzinduzi...

 

9 years ago

Michuzi

COKE STUDIO YALETA BURUDANI KINOMAAAAAAA

 Studio party ulikuwa mjumuiko ulioleta furaha kwa wengi kama inavyoonekana katika kiwanja cha Maisha Club Baadhi ya mayanki waliohudhuria Coke Studio party wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam.Ilikuwa ni burudani kubwa vijana wakicheza muziki kwa furaha ndani ya Maisha Club Vijana wakishiriki kuimba Coke Studio Party mkoani Mwanza  Zawadi mbalimbali zilitolewa katika party ya Mwanza kama anavyoonekana Masai akijichukulia zawadi katika party ya...

 

9 years ago

Michuzi

SHANGWE YA COKE STUDIO YAENDELEA MASHULENI

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Sunrise ya mjini Mwanza Janeth Malima akionyesha kipaji cha kucheza kwenye tamasha la Coke Studio lililofanyika shuleni hapo.
Wanafunzi wa shule za sekondari za Bwiru na Sunrise wakionyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba wakati wa tamasha la Coke studio.Wanafunzi wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiburudika na kinywaji cha Coca-Cola
- Mwanza,Dar,Mbeya na Arusha waonyesha vipaji vyao  vya kuimba Msimu wa Coke studio mwaka huu ambao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzindizi wa Coke Studio Africa wafana

IMG_6702

Kutoka kushoto ni Joh Makini, Shaa, Bukuku (Mc wa shughuli hiyo), Brand Manager wa Coca Cola, Maurice Njowoka na Vanessa Mdee.

‘Coke Studio Africa’ msimu wa pili

Vanessa Mdee, Shaa, Joh Makini Diamond ‘live’ TBC1,TBC2

Na Andrew Chale

Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola,  ilizindua msimu wa pili wa onyesho la luninga lijulikanalo kama  ‘Coke Studio Africa’ ambalo linatarajiwa konyeshwa kila Jumatatu na kituo cha Shirika la Utangazaji cha TBC.

Akizungumza na wandishi wa habari wakati wa...

 

11 years ago

CloudsFM

DIAMOND ALA SHAVU JINGINE COKE STUDIO

STAA wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz amepata shavu jingine kwenye kipindi cha Coke Studio, baada ya kuteuliwa kwa mara nyingine kurekodi kwenye kipindi hiko ambacho wasanii wengi wanandoto na mchongo huo ambao ukiupata licha mtonyo wanaolipwa na kampuni kubwa ya cocacola wasanii hao wanapata platform ya kuonyeshwa kwa performance zao katika vituo vya tv kibao za barani Africa pamoja na kuonekana kwenye You Tube Channel za Cocacola studio.Meneja wa Diamond,Babu Tale anafunguka kwanini shavu...

 

9 years ago

Michuzi

Fid Q na Maurice ndani ya Coke Studio leo

Baada ya wasanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya wiki iliyopita kumwaga raha ya burudani  kupitia onyesho la muziki la Coke studio linalorushwa na luninga ya Clouds kila siku ya Jumamosi. Leo nyota wengine wa muziki huo Fid Q kutoka Tanzania na Maurice Kirya kutoka nchini Uganda watawasha moto.
Wasanii hawa wawili ambao wanatamba kwa muziki wa Bongo Fleva katika ukanda huu wa Afrika Mashariki wamefanya Kolabo matata (Mash-up) katika...

 

10 years ago

Michuzi

COKE STUDIO AFRIkA MSIMU WA TATU YAANZA

KUFUATIA mafanikio makubwa yaliyopatikana katika Msimu wa Pili wa Coke Studio Africa, Kampuni ya Coca-Cola kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya, inayo furaha kutangaza kuanza tena msimu wa tatu wa burudani ya muziki maarufu kwa jila la Coke Studio Africa. msimu huu utajumuisha wanamuziki wakali 26 barani Afrika huku nyimbo mpya 52 kutumbuizwa ikiambatana na maonyesho 9 ya wanamuziki wanaotamba hapa duniani. 
Maonyesho hayo ya muziki ya Coke Studio Africa ni tofauti na mengine ya aina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani