Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo, Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Alikiba aungana na wasanii wengine wa Afrika kurekodi wimbo maalum wa siku ya Amani Duniani —Sept. 21

Tarehe 21 September kila mwaka huwa ni siku ya Amani Duniani, na mwaka huu baadhi ya wasanii wa Afrika akiwemo staa wa Tanzania wameandaa kitu maalum cha kuhamasisha Amani. Coke Studio Africa imewakutanisha baadhi ya wasanii wa Afrika akiwemo Alikiba wa Tanzania, Ice Prince (Nigeria), Maurice Kirya (Uganda), Wangechi (Kenya) na wengine, kurekodi wimbo wa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino

Wasanii mbalimbali wa kike nchini wameungana na kurekodi video ya wimbo uitwao ‘Simama Nami’, maalum kwaajili ya kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi vinavyoendelea nchini. Video imeongozwa na Hanscana. Wasanii walioshiriki ni pamoja na Keisha, Mwasiti, Linah, Khadija Nito, Grace Matata, Shilole, Kajala, Wolper,Shamsa Ford, Irene Uwoya na Zamaradi Mketema. Wimbo umeandikwa […]

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa  kuwa tangu kuanza  kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu  na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa  kifua kikuu  wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo, Airtel na Vodacom zashirikiana na AU ‘kutokomeza Ebola barani Afrika’

1 (4)

Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni maalum ya kampuni za simu tatu nchini zilizoungana kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kutokomeza ugonjwa wa Ebola Afrika. Kushoto ni Mkuu wa Mawasliano na Mahusiano ya Umma kutoka Vodacom Bi. Rosalynn Mworia, na Meneja wa Huduma za Kijamii kutoka Airtel Bi. Hawa Bayumi (kulia). Kuchangia mteja yeyote wa kampuni hizo tatu tajwa anaweza akatuma neno ‘Tokomeza...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugonjwa wa ebola unavyoitikisa Afrika

Wakati wakuu wa mataifa ya Guinea, Sierra Leone na Liberia wanakutana kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry kwa ajili ya kungalia jinsi gani ya kupambana na ugonjwa wa ebola, Shirika la Afya Dunia (WHO), limetangaza kutoa Dola za Kimarekani 100 milioni ili kukabiliana na janga hili ambalo hadi sasa limegharimu maisha ya Waafrika zaidi ya 730. 

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ugonjwa wa ebola umeonyesha udhaifu mkubwa nchi za Afrika’

Wakati bado wanasayansi wakiumiza vichwa kupata dawa ya kutibu ugonjwa wa ebola, imebainika kuwa nchi za Afrika ni dhaifu katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko.

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee aungana na UNICEF kupinga ukatili kwa watoto

Vanessa Mdee ameungana na shirika la kutetea haki za watoto duniani, UNICEF kupinga ukatili dhidi ya watoto. “Tanzanian artist @VanessaMdee is joining #UNICEFTanzania to #ENDviolence against Children #WalindeWatoto,” wameandika UNICEF. “Day well spent with #UNICEFTanzania #EndViolenceCampaign #WalindeWatoto,” ameandika Vanessa kwenye picha aliyoiweka Instagram. Vanessa anaungana na AY na Faraja Kotta kwenye kampeni hiyo iitwayo ‘Walinde […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani