Tigo, Airtel na Vodacom zashirikiana na AU ‘kutokomeza Ebola barani Afrika’
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni maalum ya kampuni za simu tatu nchini zilizoungana kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kutokomeza ugonjwa wa Ebola Afrika. Kushoto ni Mkuu wa Mawasliano na Mahusiano ya Umma kutoka Vodacom Bi. Rosalynn Mworia, na Meneja wa Huduma za Kijamii kutoka Airtel Bi. Hawa Bayumi (kulia). Kuchangia mteja yeyote wa kampuni hizo tatu tajwa anaweza akatuma neno ‘Tokomeza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 May
WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA
10 years ago
CloudsFM01 Dec
DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA
Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo, Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
Liberia imefanikiwa kutokomeza Ebola-WHO
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Guinea kutokomeza Ebola kwa siku 60
11 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA
10 years ago
MichuziAirtel yazindua huduma ya kutuma na kutoa pesa Afrika Mashariki kupitia Airtel money
Huduma hii ya kwanza barani Afrika itamwezesha Mteja wa Airtel kutuma , kupokea na kutoa pesa kutoka kwenye salio lake la Airtel Money Hatua ya awali ya huduma hii inategemea kuanza tarehe 1 November 2014 kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda ambapo huduma hii itaweza kupatikana...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Dewji: Afrika tunaweza kutokomeza umaskini
MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, na Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji (CCM), amesema nchi za Afrika zina uwezo mkubwa wa kujikomboa katika lindi la umaskini iwapo sera nzuri zitatungwa na...
10 years ago
TheCitizen22 Aug
Airtel, Tigo join forces
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma