Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa Mdee aungana na UNICEF kupinga ukatili kwa watoto

Vanessa Mdee ameungana na shirika la kutetea haki za watoto duniani, UNICEF kupinga ukatili dhidi ya watoto. “Tanzanian artist @VanessaMdee is joining #UNICEFTanzania to #ENDviolence against Children #WalindeWatoto,” wameandika UNICEF. “Day well spent with #UNICEFTanzania #EndViolenceCampaign #WalindeWatoto,” ameandika Vanessa kwenye picha aliyoiweka Instagram. Vanessa anaungana na AY na Faraja Kotta kwenye kampeni hiyo iitwayo ‘Walinde […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania, UNICEF waendesha warsha kwa vyombo vya habari kuzuia ukatili kwa watoto

 

Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo.

Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini.

Mmoja wa  washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo.

Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo.

Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto.

Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True...

 

11 years ago

Michuzi

UNICEF Tanzania yawateua AY na Faraja K. Nyalandu kama Mabalozi wa kuhamasisha umma juu ya ukatili dhidi ya watoto

Katika kusherehekea siku ya Mtoto wa Afrika tarehe 16 Juni, Halmashauri ya Wilaya ya Hai, ikishirikiana na viongozi wa serikali, UNICEF na Save the Children, imezindua Kituo cha Huduma Jumuishi, kitakachowasaidia wanawake na watoto ambao wameathiriwa na ukatili.


“Katika kituo hiki, huduma za kuwasaidia wahanga wa ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto ikiwa ni pamoja na huduma za afya, msaada wa kisaikolojia, ulinzi/usalama na msaada wa kisheria vinaweza kutolewa hapo katika eneo...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YANOGESHA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO LEO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Camillus Wambura(kushoto)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia alipowasili ofisini kwake akiwa kama Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika viwanja vya Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Askari polisi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay na Mbuyuni wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

  Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.    Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali  wakiongozwa na Brass band yaJeshi la Polisi,wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee athibitisha uhusiano na Jux kwa picha hii?

Kwa mara kibao Vanessa Mdee na Jux wamekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi licha ya kuonesha dalili nyingi ya kuwa ni item. A picture is worth a thousand words Lakini huenda mastaa hao wanataka kuufanya uhusiano wao official kwa mwaka 2015. Vee Money ametoa hint kuhusu uwezekano wa wawili hao kuwa pamoja kwenye picha aliyoweka […]

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara

Mshindi wa tuzo za Afrimma 2015, Vanessa Mdee amesema ni fahari kufananishwa kwa video ya wimbo wake ‘Never Ever’ na video ya ‘Dance Like We’re Making Love’ ya Ciara. Vanessa ameiambia Friday Night Live ya EATV kuwa msanii binafsi kama yeye kufananishwa na kazi ya Ciara aliye chini record labels kubwa duniani ni kitu kikubwa. […]

 

9 years ago

Bongo5

Hizi ni chati za Afrika ambazo ‘Never Ever’ ya Vanessa Mdee inasumbua kwa sasa

vee4

Wimbo wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ ambao video yake ilianza kutoka October 9 kwa kutambulishwa kupitia Trace Urban na kufatiwa na audio iliyotoka Oct 12, unaendelea kushika chati mbalimbali za vituo vya TV pamoja na radio barani Afrika.

vee4

Baadhi ya chati ambazo wimbo huo uliopikwa na producer anayesumbua sana kwa sasa Nahreel wa The Industry na video kuongozwa na Justin Campos, ni pamoja na Africa Top 10 ya Trace Urban ambapo kwa wiki hii imekamata nafasi ya pili.

Chati nyingine ni Africa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani