Hizi ni chati za Afrika ambazo ‘Never Ever’ ya Vanessa Mdee inasumbua kwa sasa
Wimbo wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ ambao video yake ilianza kutoka October 9 kwa kutambulishwa kupitia Trace Urban na kufatiwa na audio iliyotoka Oct 12, unaendelea kushika chati mbalimbali za vituo vya TV pamoja na radio barani Afrika.
Baadhi ya chati ambazo wimbo huo uliopikwa na producer anayesumbua sana kwa sasa Nahreel wa The Industry na video kuongozwa na Justin Campos, ni pamoja na Africa Top 10 ya Trace Urban ambapo kwa wiki hii imekamata nafasi ya pili.
Chati nyingine ni Africa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Nov
Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita
![nyerere_karume_and_moyo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nyerere_karume_and_moyo-300x194.jpg)
Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.
Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.
Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...
9 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
9 years ago
Bongo513 Dec
Vanessa Mdee ashika nafasi ya pili kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika
![12346294_444980479044924_1318155553_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_444980479044924_1318155553_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.
Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima.
MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.
Orodha hiyo ni:
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)
10 years ago
Bongo515 Mar
Vanessa Mdee aungana na UNICEF kupinga ukatili kwa watoto
10 years ago
Bongo501 Jan
Vanessa Mdee athibitisha uhusiano na Jux kwa picha hii?
9 years ago
Bongo517 Oct
Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara