Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugonjwa wa ebola unavyoitikisa Afrika

Wakati wakuu wa mataifa ya Guinea, Sierra Leone na Liberia wanakutana kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry kwa ajili ya kungalia jinsi gani ya kupambana na ugonjwa wa ebola, Shirika la Afya Dunia (WHO), limetangaza kutoa Dola za Kimarekani 100 milioni ili kukabiliana na janga hili ambalo hadi sasa limegharimu maisha ya Waafrika zaidi ya 730. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Ugonjwa wa ebola umeonyesha udhaifu mkubwa nchi za Afrika’

Wakati bado wanasayansi wakiumiza vichwa kupata dawa ya kutibu ugonjwa wa ebola, imebainika kuwa nchi za Afrika ni dhaifu katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko.

 

11 years ago

Michuzi

Afrika ni salama pamoja na kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola — Rais Kikwete

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China leo asubuhi.Raius Kikwete yupo nchini China kwa ziara ya kiserikali.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo, Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

TISHIO UGONJWA WA EBOLA


Kikosi kazi chaanza  mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mungu inusuru Tanzania na ugonjwa wa ebola

Ugonjwa wa ebola umeendelea kuwa tishio katika nchi za Afrika Magharibi ukikatisha maisha ya watu kila kukicha. Mpaka sasa bado juhudi za kupambana na ugonjwa huu hazijazaa matunda makubwa kwani idadi ya vifo imekuwa ikiongezeka.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola:Damu ya waliopona kutibu ugonjwa

WHO lamesema kuwa damu ya watu ambao wameponea ugonjwa wa Ebola inaweza kutumiwa kuwauguza wagonjwa wengine.

 

11 years ago

BBCSwahili

MSF;Ugonjwa wa Ebola haudhibitiki tena

Afisa mwandamizi wa shirika la madaktari wasio na Mipaka MSF ameelezea kuwa mkurupuko wa ugonjwa wa Ebola hauwezi kudhibitika.

 

11 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani