RAIS OBAMA AONGELEA UGONJWA WA EBOLA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Aug
10 years ago
MichuziAfrika ni salama pamoja na kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola — Rais Kikwete
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China leo asubuhi.Raius Kikwete yupo nchini China kwa ziara ya kiserikali.(picha na Freddy Maro)
10 years ago
Vijimambo25 Oct
NESI WA EBOLA APONA NA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI
Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct 24, 2014 ameruhusiwa kutoka hospitali NIH alipokua amelazwa baada ya kupona virusi vya Ebola. Nesi Nina baadae yeye na familia yake walipitia Ikulu kukutana na Rais Barack Obama kabla ya kuondoka na kuelekea Texas kwenda kuungana na ndugu, jamaa na marafiki.
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?
Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya Corona: Obama asema uongozi wa Trump umefeli kukabiliana na ugonjwa huo
Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama kwa mara nyingine tena amemkosoa mrithi wake Donald Trump anavyoshughulikia janga la virusi vya corona
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
TISHIO UGONJWA WA EBOLA
Kikosi kazi chaanza mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Ugonjwa wa ebola unavyoitikisa Afrika
Wakati wakuu wa mataifa ya Guinea, Sierra Leone na Liberia wanakutana kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry kwa ajili ya kungalia jinsi gani ya kupambana na ugonjwa wa ebola, Shirika la Afya Dunia (WHO), limetangaza kutoa Dola za Kimarekani 100 milioni ili kukabiliana na janga hili ambalo hadi sasa limegharimu maisha ya Waafrika zaidi ya 730.Â
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Ebola:Damu ya waliopona kutibu ugonjwa
WHO lamesema kuwa damu ya watu ambao wameponea ugonjwa wa Ebola inaweza kutumiwa kuwauguza wagonjwa wengine.
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Mungu inusuru Tanzania na ugonjwa wa ebola
Ugonjwa wa ebola umeendelea kuwa tishio katika nchi za Afrika Magharibi ukikatisha maisha ya watu kila kukicha. Mpaka sasa bado juhudi za kupambana na ugonjwa huu hazijazaa matunda makubwa kwani idadi ya vifo imekuwa ikiongezeka.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania