TISHIO UGONJWA WA EBOLA
Kikosi kazi chaanza mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi21 Sep
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Utafiti: Ugonjwa wa kisukari ni tishio kwa wengi
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UmB2SmQOlDo/VkW15I8dkqI/AAAAAAAAWbk/ahOvKRBZGW0/s72-c/IMG_8382%2B%25281024x683%2529.jpg)
RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA TISHIO LA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-UmB2SmQOlDo/VkW15I8dkqI/AAAAAAAAWbk/ahOvKRBZGW0/s640/IMG_8382%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-aW8MPYPblFY/VkW182oExQI/AAAAAAAAWcA/0s0UbpndgXI/s640/IMG_8390%2B%25281024x683%2529.jpg)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Ebola bado tishio
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Ebola bado ni Tishio
10 years ago
Mtanzania20 Oct
Ebola tishio nchini
Na Waandishi wetu,Mwanza,Dar
MTU aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya.
Wakati mtu huyo akizikwa jana, hofu kubwa imetanda mikoa ya Kanda ya ziwa, huku watu wakiogopa kugusana katika vyombo vya usafiri na kutumiana ujumbe mfupi wa simu za mikononi (SMS) juu ya kuchukua hadhari ya ugonjwa huo.
Mgonjwa anayedaiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo, ametajwa kuwa ni Salome Richad (17), mkazi wa Kahunda Wilaya ya...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Tanga wajizatiti tishio la ebola
WAKATI Taifa likiwa katika mikakati ya kuzuia ugonjwa hatari wa Ebola, jopo la wataalamu wa afya kutoka Wilaya nane za Mkoa wa Tanga limekutana ili kupeana elimu dhidi ya ugonjwa...
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Ebola yawa tishio Liberia