Ebola tishio nchini
Na Waandishi wetu,Mwanza,Dar
MTU aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya.
Wakati mtu huyo akizikwa jana, hofu kubwa imetanda mikoa ya Kanda ya ziwa, huku watu wakiogopa kugusana katika vyombo vya usafiri na kutumiana ujumbe mfupi wa simu za mikononi (SMS) juu ya kuchukua hadhari ya ugonjwa huo.
Mgonjwa anayedaiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo, ametajwa kuwa ni Salome Richad (17), mkazi wa Kahunda Wilaya ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Ebola bado ni Tishio
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
TISHIO UGONJWA WA EBOLA
Kikosi kazi chaanza mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Ebola bado tishio
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Ebola yawa tishio Liberia
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Tanga wajizatiti tishio la ebola
WAKATI Taifa likiwa katika mikakati ya kuzuia ugonjwa hatari wa Ebola, jopo la wataalamu wa afya kutoka Wilaya nane za Mkoa wa Tanga limekutana ili kupeana elimu dhidi ya ugonjwa...
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Tishio la ebola laikumba Tanzania
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Tishio la EBOLA, wananchi wakae chonjo
Pichani ni baadhi ya Daktari wakiwa wamembeba mgonjwa wa EBOLA picha kwa hisani ya Mtandao.
Na Hannah Mayige, wa Chuo Kikuu Huria, OUT
TISHIO la ugonjwa wa Ebola unaoendelea kuuwa mamia ya watu Afrika Magharibi, umezua wasiwasi mkubwa kwa nchi za Afrika na dunia nzima kwa ujumla na kutakiwa watanzania kuchukua tahadhari kubwa kudhibiti ugonjwa huo usiingie nchini.
Lazima Serikali na wananchi wazingatie masharti na tahadhari inayotolewa kimataifa kuudhibiti ugonjwa na utayari...
10 years ago
BBCSwahili11 Dec