Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tishio la ebola laikumba Tanzania

Tanzania ni miongoni mwa nchi 15 zilizoko katika hatari ya kupata mlipuko wa ugonjwa wa ebola kwa mujibu wa maelezo ya wanasayansi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio

Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa wa Ebola hautaweza kudhibitiwa kikamilifu katika kipindi cha mwaka mmoja unaokuja.

 

10 years ago

Mtanzania

Ebola tishio nchini

mtanzania201014Na Waandishi wetu,Mwanza,Dar

MTU aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya.

Wakati mtu huyo akizikwa jana, hofu kubwa imetanda  mikoa ya Kanda ya ziwa, huku watu wakiogopa kugusana katika vyombo vya usafiri na kutumiana ujumbe mfupi wa simu za mikononi (SMS) juu ya kuchukua hadhari ya ugonjwa huo.

Mgonjwa anayedaiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo, ametajwa kuwa ni Salome Richad (17), mkazi wa Kahunda Wilaya ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TISHIO UGONJWA WA EBOLA


Kikosi kazi chaanza  mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado ni Tishio

wakati ugonjwa wa Ebola ukiwa hauna tiba wala chanjo,wadau wa afya wamwagiana lawama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanga wajizatiti tishio la ebola

WAKATI Taifa likiwa katika mikakati ya kuzuia ugonjwa hatari wa Ebola, jopo la wataalamu wa afya kutoka Wilaya nane za Mkoa wa Tanga limekutana ili kupeana elimu dhidi ya ugonjwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yawa tishio Liberia

Nchi ya Liberia imefunga mipaka yake iliyomingi ya kuingia nchini humo ili kudhibiti kuenea kwa maambukizi mapya ya ugonjwa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio Nigeria

Shule zafunguliwa nchini Nigeria baada ya tishio la maambukizi ya Ebola

 

10 years ago

Michuzi

EBOLA : TISHIO LA AMANI NA USALAMA WA KIMATAIFA

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mwezi wa Septemba, Muwakilishi wa Kudumu wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Balozi Samantha Power akizungumza wakati wa Mkutano wa Dharura wa Baraza Kuu la Usalama, uliofanyika Alhamisi kwa lengo la kukusanya nguvu za Jumuiya ya Kimataifa katika kuukabili mlipuko wa Ebola ambao sasa unaangaliwa katika jicho la kuwa tishio la amani na usalama wa Kimataifa. Wajumbe wa Baraza Kuu la Usalama wakipiga kura ya kuunga mkono azimio namba...

 

10 years ago

Habarileo

Ebola wadaiwa tishio kwa uchumi

MKUU wa Benki ya Dunia, Jim Kim amehadharisha kuwa kuenea kwa ugonjwa wa ebola kunaweza kusababisha janga la kiuchumi katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone na ametaka hatua zichukuliwe haraka ili kuzuia kuenea zaidi ugonjwa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani