Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tishio la EBOLA, wananchi wakae chonjo

ebola_QT1_1433[1]

Pichani ni baadhi ya  Daktari wakiwa wamembeba mgonjwa wa EBOLA picha kwa hisani ya Mtandao.

Na Hannah Mayige,  wa Chuo Kikuu Huria, OUT

TISHIO la ugonjwa wa Ebola unaoendelea kuuwa mamia ya watu Afrika Magharibi, umezua wasiwasi  mkubwa   kwa nchi za Afrika  na  dunia nzima  kwa  ujumla na kutakiwa watanzania kuchukua tahadhari  kubwa kudhibiti ugonjwa huo usiingie nchini.

Lazima  Serikali na wananchi  wazingatie masharti na tahadhari inayotolewa kimataifa kuudhibiti ugonjwa na utayari...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ebola:Nigeria yakaa chonjo

Serikali ya Nigeria yaweka hali ya tahadhari katika maeneo yote ya kuingia nchini humo kufuatia kugunduliwa kwa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado ni Tishio

wakati ugonjwa wa Ebola ukiwa hauna tiba wala chanjo,wadau wa afya wamwagiana lawama.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TISHIO UGONJWA WA EBOLA


Kikosi kazi chaanza  mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio

Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa wa Ebola hautaweza kudhibitiwa kikamilifu katika kipindi cha mwaka mmoja unaokuja.

 

10 years ago

Mtanzania

Ebola tishio nchini

mtanzania201014Na Waandishi wetu,Mwanza,Dar

MTU aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya.

Wakati mtu huyo akizikwa jana, hofu kubwa imetanda  mikoa ya Kanda ya ziwa, huku watu wakiogopa kugusana katika vyombo vya usafiri na kutumiana ujumbe mfupi wa simu za mikononi (SMS) juu ya kuchukua hadhari ya ugonjwa huo.

Mgonjwa anayedaiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo, ametajwa kuwa ni Salome Richad (17), mkazi wa Kahunda Wilaya ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yawa tishio Liberia

Nchi ya Liberia imefunga mipaka yake iliyomingi ya kuingia nchini humo ili kudhibiti kuenea kwa maambukizi mapya ya ugonjwa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio Nigeria

Shule zafunguliwa nchini Nigeria baada ya tishio la maambukizi ya Ebola

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanga wajizatiti tishio la ebola

WAKATI Taifa likiwa katika mikakati ya kuzuia ugonjwa hatari wa Ebola, jopo la wataalamu wa afya kutoka Wilaya nane za Mkoa wa Tanga limekutana ili kupeana elimu dhidi ya ugonjwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tishio la ebola laikumba Tanzania

Tanzania ni miongoni mwa nchi 15 zilizoko katika hatari ya kupata mlipuko wa ugonjwa wa ebola kwa mujibu wa maelezo ya wanasayansi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani