Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ugonjwa wa Surua tishio Guinea

Mashirika ya kimataifa yajizatiti kupambana na Surua nchini Guinea

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SURUA-2

Vidonda hivi huitwa Koplik spots. Hii ni dalili tosha ya kuthibitisha uwepo wa surua.
Lakini vilevile mgonjwa anaweza kuwa na vipele vidogo sana ambavyo inaweza kukuwia vigumu kutambua. Vipele hivi huweza kuonekana vizuri siku mbili baadaye hasa sehemu za usoni au nyuma ya sikio na kushuka chini kabla ya kutapakaa mwili mzima. Vipele hivi hupotea baada ya siku saba na kuacha ngozi iliyobabuka. Hata hivyo, kukohoa kunaweza...

 

10 years ago

Michuzi

Chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella Manispaa ya Ilala yavuka lengo

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu akionyesha picha ya yenye maelezo ya Chanjo ya kukinga ugonjwa wa Surua na Rubella wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya zoezi la chanjo hiyo linalofanyika nchi nzima.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.
Hayo yamesemwa na Mganga...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TISHIO UGONJWA WA EBOLA


Kikosi kazi chaanza  mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Ugonjwa wa kisukari ni tishio kwa wengi

>Mpangilio mbovu wa lishe, kutokufanya mazoezi na wananchi kushindwa kujitokeza kupima afya mara kwa mara ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.

 

9 years ago

Michuzi

RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA TISHIO LA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu.Baadhi ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,(hayupo pichani).
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola ni kiini cha ugonjwa hatari Guinea

Wanasayansi nchini Ufaransa wasema virusi vya Ugonjwa wa Ebola ndio chanzo cha ugonjwa wa homa ya Haemorajic nchini Guinea

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Guinea yasema ugonjwa wa corona hautazuia uchaguzi

Serikali ya Guinea-Conakry imesisitiza kufanyika kwa uchaguzi wa wabunge na kura ya maoni ya katiba pamoja na kuwa wapinzani wanataka uchaguzi usitishwe kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.

Aidha wapinzani wanautazama uchaguzi huo ambao utafanyika kesho Jumapili kuwa mbinu za rais Alpha Condé ambaye anataka kubadilisha katiba ili aweze kuwania muhula wa tatu kinyume cha sheria ya sasa.

Ingawa katiba mpya ambayo inatazamiwa kuidhinishwa katika kura ya maoni ina kipengee cha...

 

9 years ago

Vijimambo

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani