FAHAMU UGONJWA WA SURUA-2

Vidonda hivi huitwa Koplik spots. Hii ni dalili tosha ya kuthibitisha uwepo wa surua. Lakini vilevile mgonjwa anaweza kuwa na vipele vidogo sana ambavyo inaweza kukuwia vigumu kutambua. Vipele hivi huweza kuonekana vizuri siku mbili baadaye hasa sehemu za usoni au nyuma ya sikio na kushuka chini kabla ya kutapakaa mwili mzima. Vipele hivi hupotea baada ya siku saba na kuacha ngozi iliyobabuka. Hata hivyo, kukohoa kunaweza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
11 years ago
Michuzi.jpg)
Chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella Manispaa ya Ilala yavuka lengo
.jpg)
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.
Hayo yamesemwa na Mganga...
11 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA HERNIA
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Fahamu ugonjwa wa kiharusi
11 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA MAGOTI NA KIUNO (OSTEOARTHRITIS)
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-2
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO