FAHAMU UGONJWA WA MAGOTI NA KIUNO (OSTEOARTHRITIS)

Ugonjwa wa maumivu katika magoti au kiuno kitaalamu huitwa Osteoarthritis. Ugonjwa huu huwapata watu wengi hasa wenye unene wa kupita kiasi au wazee. Osteoarthritis ina maana magonjwa ya viungo vya mwili kiujumla, lakini hasa hushambulia magoti na kiuno.Ni ugonjwa wa muda mrefu na kusababisha uharibifu wa minofu migumu myeupe katika magoti, au kitaalamu huitwa cartilage articular. Ugonjwa huu umekuwa wa kawaida kwa watu wengi,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Fahamu ugonjwa wa kiharusi
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SURUA-2
11 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA HERNIA
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-2
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-4
10 years ago
GPL
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-2