FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO
![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KB6rdN5ALgKlzyv3s8Ug4kcRrIxbAxvhtIa5tETwf9lHUV5FLd5fFdHR6ei0DCatP6nIV5exwmwM0UpgLpgzV-/Emilia3.jpg?width=650)
Saratani au kansa zipo za aina nyingi lakini leo tutachambua ya watoto ambayo kitaalamu inaitwa Non Hodgkin’s Lymhona na huwapata watoto wadogo wenye umri kati ya miaka mitatu na tisa. Saratani hii hujitokeza kutoka kwenye mfumo wa damu inayohusika na kinga ya mwili yaani Lymphatic system kwa kitaalamu na mara nyingi hushambulia tezi zinazoshughulika na kinga ya mwili wa mtoto na huweza kusababisha kifo. MAENEO...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yi0TCIBaEFV02KLXapZbHeNe6I*o-ohoGDYNioUjLVASZPmLa*Lj*H1xNtrOoAM-luAbXb0vCAO6*LQPMIbXxitpdFEkp88k/Emilia3.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1lcGlJrzAbX6WZNcM-Jb3y-NHNzw59dlPLV56zWWfLsBx*KuxrGhODwqTdzWIFcWMDN1Up0QBD*LMOrBrDFk4PPY/MDF2828615042013160436655.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBsR7Wpn93FX*CvI2i6MDkh-RXSmIMQoxzVAwkI3dGOLX-rCi2jgsFD5GlI6sVIy36UeAMSXbVTpCtoNlksI*uhm/dudu.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-4
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgQEsxCodzAO6SWrHL-EvZuR294j1siGYnPVZNBr7QhP2mdTs5fqlulEZTWIMqh6X3BjevBALD3bdGsaSMoNQiVX/prostatecancer.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5flC6iIiwn-QZmoOa0Q1ub0fE4xbBn4iQ9aYHOvEBwCIJC5dMFn-tqmBgWvr-8YP27yJ3yibgLuLmTHzOLW0Xsn9/CDR442342571.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)
9 years ago
StarTV17 Dec
Zaidi ya 50% ya maisha ya watoto wenye ugonjwa Saratani  yaokolewa
Katika kipindi cha miaka mitano, tangu Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya waanzishe kitengo cha ugonjwa wa Saratani kwa watoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaidi ya asilimia 50 ya maisha ya watoto wenye ugonjwa huo yameokolewa.
Awali katika wodi ya watoto wenye tatizo hilo kwenye taasisi ya Saratani ya Ocean Road ni asilimia 10 tu ya watoto hao walioweza kuokolewa maisha.
Umasikini na uelewa mdogo katika ugonjwa Saratani ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la...
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Fahamu tiba ya mionzi kwa maradhi ya saratani (4)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-T8Lo27RSiWs/VglG8ApQNaI/AAAAAAAAT_Q/KLIlOUC5xgE/s72-c/AFYA.jpg)
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-T8Lo27RSiWs/VglG8ApQNaI/AAAAAAAAT_Q/KLIlOUC5xgE/s640/AFYA.jpg)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MWANAMUZIKI PERCY SLEDGE AFARIKI KWA UGONJWA WA SARATANI