Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMUZIKI PERCY SLEDGE AFARIKI KWA UGONJWA WA SARATANI

MTUNZI wa wimbo maarufu wa 'When a Man Loves a Woman', amefariki jana nyumbani kwake Baton Rouge, Jimbo la Lousiana, Marekani, akiwa na umri wa miaka 73  baada ya kusumbuliwa muda mrefu kwa ugonjwa wa saratani. Sledge ambaye alikuwa mahiri katika miondoko ya R&B, alivuma sana mwaka 1966 ambapo wimbo wake huo uliposhika namba moja katika anga la muziki nchini Marekani na kimataifa.  Ulipotolewa kwa mara ya pili nchini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki Percy Sledge aaga dunia

Mwanamuziki chapa 'Soul' aliyevuma kote duniani kutokana na utunzi wake ''When a Man Loves a Woman'',Percy Sledge ameaga dunia.

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3

Kitaalamu dawa za kutibu saratani hii imegawanyika katika makundi mawili ipo iitwayo Vincristin, ya pili ni Methotrexate na dawa nyingine inayofahamika kama Cytarabin. Dawa nyingine ambayo ni muhimu sana huitwa Cyclophosphamide. Daktari akimuona mgonjwa anaweza kumpa dawa kwa kupitia njia ya mishipa ya damu pia ipo dawa ambayo mgonjwa hupewa kupitia uti wa mgongo. Kundi la pili la dawa zinazotumika kutibu saratani hii lina dawa...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO

Saratani au kansa zipo za aina nyingi lakini leo tutachambua ya  watoto ambayo kitaalamu inaitwa  Non Hodgkin’s Lymhona na  huwapata watoto wadogo wenye umri kati ya miaka mitatu na tisa. Saratani hii hujitokeza kutoka kwenye mfumo wa damu inayohusika na kinga ya mwili yaani Lymphatic system kwa kitaalamu na mara nyingi hushambulia tezi zinazoshughulika na kinga ya mwili wa mtoto na huweza kusababisha kifo. MAENEO...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-2

Mtoto anaweza kupatwa maradhi haya kwa kurithi kutoka katika familia aliyozaliwa kama vile wazazi, mjomba, babu au bibi, mama mdogo na kadhalika. Mtoto pia anaweza kupatwa na saratani hii kutokana na kuugua kila wakati ugonjwa wa malaria ambapo huchangia kupungua kwa kinga mwilini.Sababu nyingine ni mashambulio ya virusi vinavyoitwa kwa kitaalamu ‘Lymphic System’. Virusi hivyo hushambulia mfumo wa damu na kusababisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyetelekezwa kwa saratani afariki

Mgonjwa wa saratani ambaye alidai kupewa tiba feki za mionzi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OCRI), Pendo Shoo amefariki dunia  juzi wilayani Karatu akiwa safarini kuelekea Kirua Vunjo, Kilimanjaro kwa wazazi wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkimbizi afariki kwa ugonjwa wenye utata

Raia mmoja wa Burundi aliyekuwa akiishi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana kwa ugonjwa ambao haujajulikana.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI



Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo. Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Mustafa Bapumia akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo na maadhimisho hayo. Maofisa wa makambi ya saratani ya matiti wa Saratani  wakisubiri kuzungumza na akina mama waliofika  kuchunguzwa matiti yao. Ofisa wa kambi ya saratani ya matiti, Emmy Shayo (katikati), akichukua maelezo kutoka kwa Furahini Ngwirizi aliyefika katika zoezi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani