Aliyetelekezwa kwa saratani afariki
Mgonjwa wa saratani ambaye alidai kupewa tiba feki za mionzi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OCRI), Pendo Shoo amefariki dunia juzi wilayani Karatu akiwa safarini kuelekea Kirua Vunjo, Kilimanjaro kwa wazazi wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MWANAMUZIKI PERCY SLEDGE AFARIKI KWA UGONJWA WA SARATANI
MTUNZI wa wimbo maarufu wa 'When a Man Loves a Woman', amefariki jana nyumbani kwake Baton Rouge, Jimbo la Lousiana, Marekani, akiwa na umri wa miaka 73 baada ya kusumbuliwa muda mrefu kwa ugonjwa wa saratani. Sledge ambaye alikuwa mahiri katika miondoko ya R&B, alivuma sana mwaka 1966 ambapo wimbo wake huo uliposhika namba moja katika anga la muziki nchini Marekani na kimataifa. Ulipotolewa kwa mara ya pili nchini...
10 years ago
Michuzi
MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

Mwanamama Ester Charles ambaye ni mkazi wa Mwambani wilayani Ilemela ametelekezwa na mumewe aliyetajwa kwa jina la Albinus na kubakizwa na watoto wawili wadogo wanaohitaji uangalizi na usimamizi. Pichani mwanamama Ester akiwa na mtoto wake mdogo anayetaabika na ugonjwa wa kupooza.
KWA UFUPI
Mumewake alipopata mwanamke mwingine alihama nyumba aliyokuwa akiishi...
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Luciana Campagnoli: Afariki kutokana na saratani baada ya kupona corona
Madaktari walisitisha tiba ya saratani ya Bi Luciana Campagnoli wakati alipoambukizwa virusi vya Covid-19.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Polisi aliyetelekezwa achangiwa
ASKARI polisi namba G.2751 PC Japhet Samwel, aliyetelekezwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya baada ya kuumia akiwa kazini, amechangiwa fedha za matibabu na askari wenzake wa vyeo...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Mlinzi Mnara wa Sokoine aliyetelekezwa
“Ni mita 300 kutoka eneo ambalo gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine hadi zilipo nyumba zetu, ulisikia mshindo mkubwa wa ulioashiria kuna ajali imetokea katika Barabara Kuu ya Dodoma-Morogoro eneo la Kijiji cha Luhindo, Kata ya Dakawa siku ya Jumatano, Aprili 12 mwaka 1984 mchana ya saa 7. Kumbe ni ajali iliyosababisha kifo cha kiongozi wetu.â€
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Mbwa aliyetelekezwa apata ofa ya makazi
Mbwa aliyetelekezwa kwenye kituo cha Treni apatiwa ofa za makazi mapya
10 years ago
Michuzi06 Feb
Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili

11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora





10 years ago
Mwananchi04 Sep
Saratani inavyoenezwa kwa samaki waliokaushwa kwa moshi wa plastiki
Njia za jadi za kuhifadhi samaki na nyama kwa muda mrefu ni kukausha kwa moshi. Ingawa kwa sasa dunia imepiga hatua kubwa katika teknolojia ya kuhifadhi vyakula kwa njia za kisasa kama vile matumizi ya majokofu na usindikaji, baadhi ya watu hasa katika maeneo ya vijijini bado wanatumia njia ya kuhifadhi samaki na nyama kwa kuzikausha kwa kutumia moshi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania