Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saratani inavyoenezwa kwa samaki waliokaushwa kwa moshi wa plastiki

Njia za jadi za kuhifadhi samaki na nyama kwa muda mrefu ni kukausha kwa moshi. Ingawa kwa sasa dunia imepiga hatua kubwa katika teknolojia ya kuhifadhi vyakula kwa njia za kisasa kama vile matumizi ya majokofu na usindikaji, baadhi ya watu hasa katika maeneo ya vijijini bado wanatumia njia ya kuhifadhi samaki na nyama kwa kuzikausha kwa kutumia moshi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Anavyojikimu kupitia kwa plastiki Kenya

Lorna Rutto mwanzilishi wa kampuni ya Ecopost inayofanya shughuli ya kubadili taka taka kuwa utajiri barani Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi Kiteto wazalishwa kwa mifuko ya plastiki

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Haya ndiyo yanayojiri katika Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara ambako baadhi ya wakunga wa jadi huvaa mifuko ya plastiki maarufu kama ‘rambo au malboro’, mikononi ili kuwahudumia kina mama wakati wa kujifungua.

 

11 years ago

Mwananchi

Kijana aishi kwa kula mifuko ya plastiki akidai ‘ni mitamu’

Kijana mwenye umri wa miaka 23 amejikuta katika wakati mgumu, baada ya kuathiriwa na tabia ya kula mifuko na bidhaa za plastiki.

 

10 years ago

Mwananchi

UZAZI: Wanawake wazalishwa kwa kutumia mifuko ya plastiki mkoani Manyara

>Baadhi ya wananchi na viongozi wao wanatetea nafasi ya wakunga kusaidia wajawazito kujifungua mkoani Manyara na wapo wataalamu wa afya ambao wanawatizama wakunga kama kundi lisilohitajika katika mchakato mzima wa afya ya mama na mtoto.

 

9 years ago

Michuzi

AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA YA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI


 Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akikabidhi vifaa vya kufanya usafi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Jeshi Lupembe ,vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kutekeleza agizo la rais Magufuli la kufanyika wa usafi siku ya Desemba 9.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akiwa ameongozana na Afisa afya mkuu wa manispaa hiyo,Mgeta Sebastian wakati wa kupokea msaada a vifaa vya...

 

10 years ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI

Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao cha wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo.Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akimkabidhi mwenyekiti wa Shule ya msingi Pasua Shabani Machivya msaada wa Kompyuta kwa ajili ya shule hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi



Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 19 walazwa kwa kula samaki Pemba

Watu 19 wakazi wa Kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni wamelazwa hospitali ya wilaya hiyo baada ya kula samaki aina ya puju ambaye anadhaniwa kuwa na sumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani