Watu 19 walazwa kwa kula samaki Pemba
Watu 19 wakazi wa Kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni wamelazwa hospitali ya wilaya hiyo baada ya kula samaki aina ya puju ambaye anadhaniwa kuwa na sumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
10 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
9 years ago
StarTV23 Nov
Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu
Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-r86mgXobb40/VRVqvff7RVI/AAAAAAAHNp4/qnCS4F4w94M/s72-c/1.jpg)
SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-1jD8zVFc2cQ/VRhHzRY8gkI/AAAAAAAAILI/AVAHsit0y5Q/s72-c/unnamed.jpg)
WATU 15 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KULA NJAMA NA KUJARIBU KUMTOROSHA ASKOFU GWAJIMA AKIWA HOSPITALINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-1jD8zVFc2cQ/VRhHzRY8gkI/AAAAAAAAILI/AVAHsit0y5Q/s640/unnamed.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona mgonjwa huyo. Askari ambao wapo katika lindo hilo waliwatilia mashaka...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-6OSYnpeUDQ8/VidvtlT56FI/AAAAAAACCi4/FJH8jRNErtI/s72-c/90.jpg)
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR, MAFUNZO YATOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU PEMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-6OSYnpeUDQ8/VidvtlT56FI/AAAAAAACCi4/FJH8jRNErtI/s640/90.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-W8jDJxdhfE4/VidvwvO3LeI/AAAAAAACCjA/brpVSqeDk1k/s640/03.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Saba walazwa kwa dengue Amana
WAGONJWA saba wamelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kugundulika kuwa wana ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine 50 wakipatiwa matibabu na kuruhusiwa kwenda...
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Sudan Kusini walibaka na kula watu:AU
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Watu 300 wahofiwa kula sumu Bulyanhulu