Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saba walazwa kwa dengue Amana

WAGONJWA saba wamelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kugundulika kuwa wana ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine 50 wakipatiwa matibabu na kuruhusiwa kwenda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa

Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 19 walazwa kwa kula samaki Pemba

Watu 19 wakazi wa Kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni wamelazwa hospitali ya wilaya hiyo baada ya kula samaki aina ya puju ambaye anadhaniwa kuwa na sumu.

 

11 years ago

GPL

‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI

Mr. Uwazi akimkabidhi zawadi msomaji wa gazeti la Uwazi. Msomaji akinunua gazeti na kupiga picha na Mr. Uwazi…

 

9 years ago

Vijimambo

DURHAM WACHANGIA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANYA ONESHO LA SABA SABA FAIR TRADE

Mrs Nturu mmoja ya waandaji wa saba saba fair trade iliyofanyika Jumapili Aug 30, 2015 jijini Durham, North Carolina kwa ajili ya kuchangia mji wa Afrusha ambao ni mji dada na mji wa Durham.Mmoja ya wajasiliamali akionyesha bidhaa zake kwa wageni waliofika. Nashona akimwelekeza mmoja ya wageni waliofika leo jinsi ya uvaaji khanga.
David Mngondo akiongea na  mmoja ya wageni wahudhuriaji saba saba day.
Meza nyingi ya familia ya Kitanzania wakitangaza bidhaa zao.



 

10 years ago

CloudsFM

WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU

Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.

Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...

 

9 years ago

StarTV

Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu

Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.

Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga  Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...

 

9 years ago

StarTV

Watoto Denis na Esther Lucas walazwa Geita hospitali kwa Madai Ya Kuunguzwa Na Baba

Watoto wawili wa familia moja wa kijiji cha Msasa kata ya Busanda wilayani Geita wanaodaiwa kuunguzwa kwa moto na baba yao mzazi kwa tuhuma ya kuiba mboga kwa jirani wamefikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita kwa matibabu zaidi.

Kufikishwa hospitalini hapo kumekuja siku mbili baada ya wasamaria wema kugundua kuwa watoto hao wameunguzwa midomo, mikono na miguu na kisha kufichwa ndani kwa zaidi ya siku sita na baba yao mzazi Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29.

Watoto waliounguzwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani