Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi aliyetelekezwa achangiwa

ASKARI polisi namba G.2751 PC Japhet Samwel, aliyetelekezwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya baada ya kuumia akiwa kazini, amechangiwa fedha za matibabu na askari wenzake wa vyeo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mlinzi Mnara wa Sokoine aliyetelekezwa

“Ni mita 300 kutoka eneo ambalo gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine hadi zilipo nyumba zetu, ulisikia mshindo mkubwa wa ulioashiria kuna ajali imetokea katika Barabara Kuu ya Dodoma-Morogoro eneo la Kijiji cha Luhindo, Kata ya Dakawa siku ya Jumatano, Aprili 12 mwaka 1984 mchana ya saa 7. Kumbe ni ajali iliyosababisha kifo cha kiongozi wetu.”

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyetelekezwa kwa saratani afariki

Mgonjwa wa saratani ambaye alidai kupewa tiba feki za mionzi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OCRI), Pendo Shoo amefariki dunia  juzi wilayani Karatu akiwa safarini kuelekea Kirua Vunjo, Kilimanjaro kwa wazazi wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbwa aliyetelekezwa apata ofa ya makazi

Mbwa aliyetelekezwa kwenye kituo cha Treni apatiwa ofa za makazi mapya

 

10 years ago

Mtanzania

Zungu achangiwa fomu ya ubunge Ilala

ZunguNa Jonas Mushi, Dar es Salaam
SHIRIKISHO la wanafunzi wa Elimu ya Juu la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, limesema linaridhishwa na kazi ya utekelezaji wa ilani wa Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM).
Kutokana na hali hiyo wanafunzi hao waliendesha harambee na kukusanya Sh 75,000 ambazo walimkabidhi mbunge huyo kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akizungumza juzi katika semina ya itikadi ya kujadili utekelezaji wa ilani...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA

WANAWAKE wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao.

Mwanamama Ester Charles ambaye ni mkazi wa Mwambani wilayani Ilemela ametelekezwa na mumewe aliyetajwa kwa jina la Albinus na kubakizwa na watoto wawili wadogo wanaohitaji uangalizi na usimamizi. Pichani mwanamama Ester akiwa na mtoto wake mdogo anayetaabika na ugonjwa wa kupooza. 


KWA UFUPI
Mumewake alipopata mwanamke mwingine alihama nyumba aliyokuwa akiishi...

 

9 years ago

MillardAyo

Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio)

Hii stori ya ‘Hekaheka‘ ilianza kusikika jana December 22 2015 ambapo mwanamke alikuwa na malalamiko ya kukimbiwa na mpenzi wake baada ya kujifungua Dar es Salaam.. kibaya zaidi ni kwamba mwanamke huyo hakuwa anafahamiana na ndugu yoyote wa mwanaume huyo. Kikubwa kwa sasa mwanamke huyo aliongea kwamba anahitaji msaada wa vitu vingi ikiwemo makazi ya […]

The post Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio) appeared first on...

 

11 years ago

GPL

SUZAN PETER ACHANGIWA MSAADA WA BIASHARA NA WAFANYAKAZI GLOBAL PUBLISHERS

Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Limited,  Richard Manyota,  akimkabidhi mtoto Peter Hassan ‘harambee’ ya wafanyakazi wa Global Publishers.
Mtoto Peter  akiwa ameshika fedha baada ya kukabidhiwa na Manyota.  Pembeni ni  Susan Peter…

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA ACHANGIWA FEDHA ZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MVOMERO

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla Aprili 3,2015 alichangiwa fedha kiasi cha sh 2,319,500 na wananchi wa kijiji cha Manyinga na vijiji vya jirani kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge mara muda utakapofika.
Tukio la kuchangiwa fedha za kuchukulia fomu lilichagizwa na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Stephen Kebwe aliyefanya ziara ya kukagua hospitali teule ya Bwagala na kisha kuongea na wananchi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara.
Alipopanda jukwaani, Dk. Stephen Kebwe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa achangiwa fedha za kuchukua fomu na Wana CCM mkoa wa Tabora

Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia) akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,  zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili kumuwezesha mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwani urais kupitia chama hicho.

Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani