Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUZAN PETER ACHANGIWA MSAADA WA BIASHARA NA WAFANYAKAZI GLOBAL PUBLISHERS

Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Limited,  Richard Manyota,  akimkabidhi mtoto Peter Hassan ‘harambee’ ya wafanyakazi wa Global Publishers.
Mtoto Peter  akiwa ameshika fedha baada ya kukabidhiwa na Manyota.  Pembeni ni  Susan Peter…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

A-Z PATI YA WAFANYAKAZI NA WADAU WA GLOBAL PUBLISHERS CHADIBWA BEACH, DAR

One love: Wafanyakazi na wadau wa GPL wakishow love pamoja ndani ya Chadibwa Beach. Nyemo na Shani katika pozi.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YATOA MSAADA WA AMBULANCE BUPANDWA MHELA MKOANI MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd wachapishaji wa magazeti ya Championi, Risasi, Ijumaa, Amani, Uwazi na Ijumaa Wikienda, Eric Shigongo, jana alikabidhi gari la kubebea wagonjwa…

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA GLOBAL PUBLISHERS WAUKARIBISHA MWAKA 2014 KWA AINA YAKE CHADIBWA BEACH

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd wakipozi katika picha ya pamoja ikiwa ni ishara ya kuukaribisha rasmi mwaka 2014 katika ufukwe wa Chadibwa, Kigamboni Dar.…

 

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS...

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, imeanza mbio za kuutokomeza ugonjwa wa homa ya ini ambao kitaalamu unafahamika kama Hepatitis B. Mbio hizo, zitaambatana na uzinduzi wake kitaifa utakaofanyika Machi 7, mwaka huu, Hospitali ya Mkoa wa Kitabu Ilala, Amana, Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AIANGUKIA GLOBAL PUBLISHERS

Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba ameiomba radhi Kampuni ya Global Publishers Ltd inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi kwa maneno aliyowahi kuyatoa siku za nyuma kuhusu wasanii kuandamwa na magazeti hayo. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani