Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL PUBLISHERS...

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, imeanza mbio za kuutokomeza ugonjwa wa homa ya ini ambao kitaalamu unafahamika kama Hepatitis B. Mbio hizo, zitaambatana na uzinduzi wake kitaifa utakaofanyika Machi 7, mwaka huu, Hospitali ya Mkoa wa Kitabu Ilala, Amana, Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AIANGUKIA GLOBAL PUBLISHERS

Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba ameiomba radhi Kampuni ya Global Publishers Ltd inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi kwa maneno aliyowahi kuyatoa siku za nyuma kuhusu wasanii kuandamwa na magazeti hayo. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global...

 

11 years ago

Dewji Blog

10 years ago

GPL

MUONEKANO WA TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

Tembelea hapa ====>www.globalpublishers.co.tz

 

10 years ago

GPL

PAH ONE WATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS LEO

Wanamuziki wanaounda Kundi la Pah One Ola (kushoto) na Igwee wakiwa katika pozi kwenye studio za Global TV Online leo. Pah One wakiwa na mtangazaji wa Global TV Online, Mourad Alfah kabla ya kuanza mahojiano.…

 

10 years ago

GPL

TEMBELEA TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

BONYEZA HAPA ====>www.globalpublishers.co.tz

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani