Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ugonjwa wa ebola umeonyesha udhaifu mkubwa nchi za Afrika’

Wakati bado wanasayansi wakiumiza vichwa kupata dawa ya kutibu ugonjwa wa ebola, imebainika kuwa nchi za Afrika ni dhaifu katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ugonjwa wa ebola unavyoitikisa Afrika

Wakati wakuu wa mataifa ya Guinea, Sierra Leone na Liberia wanakutana kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry kwa ajili ya kungalia jinsi gani ya kupambana na ugonjwa wa ebola, Shirika la Afya Dunia (WHO), limetangaza kutoa Dola za Kimarekani 100 milioni ili kukabiliana na janga hili ambalo hadi sasa limegharimu maisha ya Waafrika zaidi ya 730. 

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Afrika Kusini umeonyesha njia

Mei mwanzoni, Afrika Kusini ilifanya uchaguzi mkuu wa tano tangu nchi hiyo iachane na siasa za kibaguzi mwaka 1990.

 

11 years ago

Michuzi

Afrika ni salama pamoja na kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola — Rais Kikwete

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China leo asubuhi.Raius Kikwete yupo nchini China kwa ziara ya kiserikali.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo, Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.

 

11 years ago

Michuzi

HEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl Nyerere Mwishoni mwa Wiki.  Mkurugenzi Mkuu wa Heifer International Tanzania, Dk Henry Njakoi akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya maziwa nchini na wa kimataifa waliofika katika uzinduzi wa Mradi wa Uendelezaji Sekta ya Maziwa Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa  kuwa tangu kuanza  kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu  na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa  kifua kikuu  wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...

 

11 years ago

Bongo5

Ebola kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi dola bilioni 32

Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaweza kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi zaidi ya dola bilioni 52 katika mwaka ujao iwapo maafisa watashindwa kuudhibiti, benki ya dunia imeonya. Benki hiyo imesema kwenye ripoti yake mpya kuwa, kama jitihada za kuzuia kusambaa kwake katika nchi zilizokubwa zaidi na ugonjwa huo– Liberia, Sierra Leone na Guinea – […]

 

9 years ago

Michuzi

NCHI ZA AFRIKA ZIWEKEZE NGUVU YA PAMOJA KUPAMBANA NA EBOLA

 Dokta Julius Julian Lutwan kutoka Uganda akitoa mada kwa wadau mbalimbali wa afya kutoka katika mashirika na taasisi mbalimbali za Afrika na Ulaya zinazoshughulikia masuala ya afya katika warsha ya siku mbili inayofanyika mkoani Arusha kujadili njia bora za kupambana na magonjwa ya mlipuko kama Ebola na mengineyo katika bara la Afrika na kwingineko dunia.
Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa mambo ya afya ya CORDS ya nchini Ufaransa Professa Nigel Lightfoot akitoa mada kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani