Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Luckey: Wasanii Wakubwa Wanabebwa na Mavazi

MWIGIZAJI na muongozaji wa filamu Bongo Luckey Luckamo amewashukia wasanii wakubwa kuwa uwezo wao wa kuigiza ni mdogo sana lakini baadhi ya watayarishaji wanawapenda kwa sababu ya mavazi yao katika filamu kitu kinachosaidia kupunguza gharama kwao lakini kiwango chao ni kidogo sana.

“Katika tasnia ya filamu kuna changamoto nyingi, lakini ngumu kuliko yote ukikutana na filamu inayoshirikisha wasanii Nyota, tatizo kwani wengi wao uwezo wao upo chini sana, lakini wanabebwa na mavazi tu kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!

Wasanii wakubwa wa muziki nchini ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure, kwa mujibu wa producer wa Upraise Records, Dupy. Dupy amedai kuwa hali hiyo imemfanya hadi sasa kuwa na nyimbo alizowatengeneza Izzo B na Juma Nature pekee. “Wasanii wengi wakubwa wana zile za kujuana,” Dupy ameiambia Bomba Base Show ya Bomba FM Radio, Mbeya. “Mtu […]

 

11 years ago

CloudsFM

NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA

Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.

 

10 years ago

Bongo5

Kama wasanii wakubwa wanalalamika kushamiri kwa hongo redioni ili nyimbo zichezwe, kuna tatizo

Wasanii waliofanikiwa kufanya vizuri miaka ya nyuma na hadi leo majina yao ni makubwa walikuwa na bahati sana. Pamoja na kwamba muziki wa zamani haukuwa wa kibiashara kivile, ulikuwa walau na usawa kwakuwa kama msanii alikuwa na ngoma nzuri basi wimbo wake ulikuwa ukichezwa bila hiyana. Kukua kwa muziki na mabadiliko ya hapa na pale […]

 

10 years ago

GPL

WANABEBWA NA SHEPU ZAO!

Elizabeth Michael 'Lulu'. Makala: Deogratius Mongela
Umaarufu na ustaa wao kamwe haulingani na matunda ya kazi zao! Unajua kinachowabeba na kuwaweka mjini baadhi ya mastaa Bongo? Ni muonekano wa shepu na maumbo bomba waliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu! KHADJA SAID ‘KADIJANITO’ KHADJA SAID ‘KADIJANITO’
Mwanadafada Khadja Said ‘Kadijanito’ kutoka Nyumba ya Vipaji (THT) alitusua na ngoma ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakubwa kusaidia ‘vita’

Jumuiya ya Kimataifa imeungana na Tanzania katika vita ya dhidi ya ujangili na vita hiyo itaongozwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP).

 

10 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Mambo ya wakubwa

Kwenye simulizi zake za kila Jumapili, Mwanahabari wa siku nyingi, hasa kwenye fani ya utangazaji, Tido Mhando anasimulia kwa ufupi mengi aliyokutana nayo kwenye kipindi chake cha miaka 45 kazini.

 

10 years ago

Mwananchi

Nishati yahitaji wawekezaji wakubwa

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema sekta ya nishati nchini inahitaji uwekezaji mkubwa kutoka kampuni binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani