Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nishati yahitaji wawekezaji wakubwa

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema sekta ya nishati nchini inahitaji uwekezaji mkubwa kutoka kampuni binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Siri ya Muhongo yafichuka, Wafanyabiashara, wawekezaji wakubwa wahusishwa

*Yaelezwa wivu, majungu,fitina chanzo kingine*Wabaya wa Muhongo sasa wajipanga kufanya shereheSaid Mwishehe
SIKU moja tu baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuamua kuachia ngazi katika wizara hiyo siri kubwa imefichuka ya sababu hasa ambayo imemfanya aondoke ukiachilia mbali sakata la Escrow.

Imebainika kuwa wizara hiyo ni ngumu kwa waziri kukaa muda mrefu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa wafanyabiashara na wawawekezaji wakubwa na wadogo wamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AALIKA WAWEKEZAJI KATIKA AFYA, KILIMO, NISHATI

Waziri Mkuu,Mizengo PindaWAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imefungua milango kwa wawekezaji kwenye sekta zote lakini mkazi unaelekezwa zaidi kwenye sekta ya afya, kilimo hasa usindikaji mazao, nishati na miundombinu.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Oktoba 20, 2014) wakati akishiriki Mjadala wa Marais (Presidential Keynote Panel) kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika uliolenga kuonyesha fursa za uwekezaji zilizopo barani Afrika hasa katika nchi za Tanzania, Uganda, Ghana na...

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA GESI NA UMEME,ASHIRIKI KUPANDA MITI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu hii leo ameungana na kikundi cha Pamoja Youth katika zoezi la Upandaji miti katika Shule ya Sekondari Buguruni-Moto. Takriban miti 100 imependwa katika eneo hilo ikiwemo miti ya matunda na miti ya vivuli.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI KUHUSU NISHATI ENDELEVU KWA WOTE

Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa Mawaziri kuhusu nishati, mkutano ambao ulifunguliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jan Eliasson siku ya Jumatano.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Charles Kitwanga akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unapofanyika mkutano wa Mawaziri wa Nishati kutoka mataifa mbalimbali duniani, mkutano ambao pia unawashirikisha wadau na wataalamu wanaohusika sekta ya nishati.
Na Mwandishi Maalum, New York
Naibu ...

 

11 years ago

Michuzi

Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati

Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Nyaso Makwaya akisisitiza jambo wakati alipokuwa  akiwasilisha mada kuhusiana na mikakati ya Wizara katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

 Na Greyson Mwase, MorogoroWizara ya nishati na madini inatarajia kuanzisha mpango wa taifa wa matumizi bora ya nishati  unaotarajiwa kuanza kutekelezwa mara baada ya maandalizi yake kukamilika.Akizungumza katika  kongamano la mabadiliko ya tabianchi...

 

10 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI NISHATI ENDELEVU KWA WOTE.

Na Mwandishi Maalum, New York Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe.Charles Kitwanga ( Mb), ni miongoni mwa mawaziri kutoka mataifa mbalimbali duniani wanaohudhuria mkutano wa kila mwaka kuhusu Nishati Endelevu kwa Wote (SE4All) Mkutano huu unafanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, ambao siku ya jumatano mawaziri wameanza kujadili na kubadilisha uzefu kuhusu eneo hilo la nishati ambalo linaelezwa kuwa ni muhimu kwa maendeleo endelevu kijamii, kiuchumi na ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NISHATI ENDELEVU NCHINI KWA WOTE

 Waziri wa Nishati na Madini  George Simbachawene akifungua mkutano  kwa ajili ya  kujadili nishati endelevu  nchini kwa wote ( Tanzania Sustainable  Energy for  All)  ulioshirikisha  sekta binfasi,  wataamu  kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa nishati nchini.  Mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya   Protea jijini  Dar es Salaam  lengo lake lilikuwa ni kubadilishana uzoefu kwa ajili ya kuboresha  sekta ya umeme  nchini. 

 Meneja   Hifadhi kutoka Shirika la WWF Nchini Dk....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani