Kama wasanii wakubwa wanalalamika kushamiri kwa hongo redioni ili nyimbo zichezwe, kuna tatizo
Wasanii waliofanikiwa kufanya vizuri miaka ya nyuma na hadi leo majina yao ni makubwa walikuwa na bahati sana. Pamoja na kwamba muziki wa zamani haukuwa wa kibiashara kivile, ulikuwa walau na usawa kwakuwa kama msanii alikuwa na ngoma nzuri basi wimbo wake ulikuwa ukichezwa bila hiyana. Kukua kwa muziki na mabadiliko ya hapa na pale […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Nov
Hakuna usawa wa upigwaji nyimbo za wasanii redioni – Msechu

Peter Msechu amelalamikia ukiritimba uliopo katika vyombo vya habari na kudai ndio unaosababisha nyimbo nzuri kutopata nafasi za kufanya vizuri.
Akizungumza katika kipindi The Jump off cha Times FM, Msechu alisema amekuwa akijaribu mara kwa mara kufanya ‘ngoma’ nzuri kwa maendeleo ya Bongo Flava lakini huwa hazieleweki zinapoishia.
“Nafikiri kuwe na utaratibu mzuri redioni, kuwe na usawa katika upigaji nyimbo,” alisema. “Sasa kama mmoja atalia mara moja halafu mwingine mara kumi tutakuwa...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Nikki wa pili akifunguka kuhusiana kupitishwa kwa sheria inayohusu wasanii kulipwa nyimbo zinapochezwa katika TV na Redioni. Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema’Leo kulifanyika mkutano mdogo ambapo mawaziri wawili (Waziri wa Viwanda na Biashara & Waziri wa Utamaduni/Sanaa na Michezo cha msingi ilikuwa ni kwamba imezinduliwa rasmi sheria […]
The post Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio) appeared first...
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Wasanii mnajua kuna tatizo la ajira, mnaheshimu kazi zenu?
9 years ago
Bongo509 Dec
Tutawalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao redio na kwenye TV – Ruge

Mmoja kati ya wadau wakubwa wa muziki hapa nchini na Mkurugenzi wa Uzalishaji na vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema ujio wa kampuni ya kusimamia hakimiliki za kazi za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) wakishirikiana na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), utasaidia vituo vya redio na runinga kushindwa kukwepa kulipa mirahaba inayotokana na upigwaji wa nyimbo za wasanii.
Akizungumza na CMEA hivi karibuni, Ruge alisema mfumo huo mpya utawasaidia...
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Luckey: Wasanii Wakubwa Wanabebwa na Mavazi
MWIGIZAJI na muongozaji wa filamu Bongo Luckey Luckamo amewashukia wasanii wakubwa kuwa uwezo wao wa kuigiza ni mdogo sana lakini baadhi ya watayarishaji wanawapenda kwa sababu ya mavazi yao katika filamu kitu kinachosaidia kupunguza gharama kwao lakini kiwango chao ni kidogo sana.
“Katika tasnia ya filamu kuna changamoto nyingi, lakini ngumu kuliko yote ukikutana na filamu inayoshirikisha wasanii Nyota, tatizo kwani wengi wao uwezo wao upo chini sana, lakini wanabebwa na mavazi tu kwa...
10 years ago
Vijimambo
"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio)
Tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wasanii wa ng’ambo wakinufaika kwa namna tofauti katika sanaa zao kwa kupitia nyimbo zao kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Tv kisha kulipwa mkwanja mrefu na kukuza uchumi kupitia vipaji vyao. Sasa leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ana haya ya kukufahamisha kuhusu wasanii wa […]
The post Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio) appeared first on...
10 years ago
Bongo507 Jan
Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA
Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.