Tutawalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao redio na kwenye TV – Ruge
Mmoja kati ya wadau wakubwa wa muziki hapa nchini na Mkurugenzi wa Uzalishaji na vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema ujio wa kampuni ya kusimamia hakimiliki za kazi za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) wakishirikiana na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), utasaidia vituo vya redio na runinga kushindwa kukwepa kulipa mirahaba inayotokana na upigwaji wa nyimbo za wasanii.
Akizungumza na CMEA hivi karibuni, Ruge alisema mfumo huo mpya utawasaidia...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio)
Tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wasanii wa ng’ambo wakinufaika kwa namna tofauti katika sanaa zao kwa kupitia nyimbo zao kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Tv kisha kulipwa mkwanja mrefu na kukuza uchumi kupitia vipaji vyao. Sasa leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ana haya ya kukufahamisha kuhusu wasanii wa […]
The post Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio) appeared first on...
10 years ago
Bongo514 Nov
Geez Mabovu ameacha deni kwa vituo vya redio, kucheza nyimbo zake sasa hazililipi
10 years ago
Bongo510 Oct
Kituo cha redio chafukuza wafanyakazi wote 47 na kuamua kucheza nyimbo za Beyonce 24/7
9 years ago
Bongo523 Sep
BASATA lawachimba mkwara wasanii, redio TV na tovuti kuhusiana na nyimbo zenye matusi
9 years ago
Bongo527 Nov
Wasanii wachanga kunufaika pia na uchezwaji wa nyimbo zao
![Muziki Pesa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Muziki-Pesa-300x194.jpg)
Baada ya Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA) pamoja na kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) kutangaza neema kwa wasanii kuanza kunufaika kwa kulipwa mirahaba itokanayo na kazi zao kuchezwa kwenye redio na TV, wasanii wachanga wameanza kuwa na hofu na mfumo huo.
muziki pesa
Akizungumza na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Afisa Mtendaji Mkuu COSOTA, Doreen Anthony alisema kila kazi ya msanii itakayosikika itatakiwa kulipiwa.
“Kwetu sisi...
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Wateja wa Tigo sasa wanaweza kufurahia nyimbo millioni 36 kwenye simu zao za mkononi za smartphones
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni.
Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa...
10 years ago
CloudsFM15 Aug
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wao, sasa kuwalipia washindi wa kucheza style ya “Kikuku” Usafiri, Tiketi na Vinywaji kwenye show zao
Kijana Machachari wa Skylight Band Hashim Donode (kushoto) akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village akipewa Sapoti na Sony Masamba. Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya “Kikuku na washindi hupewa ofa ya kulipiwa vinywaji, kiingilio na usafiri. Mwanzo ilikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali iliyopigwa ndani ya Dar Live.
Meneja her self …Aneth Kushaba...
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Kotto: Msiwachague kwa uzuri wa filamu na nyimbo zao
NA FARAJA MASINDE
MMILIKI wa bendi ya muziki wa dansi ya Kotto, Said Mohamed, amewataka Watanzania wawapime kwa sera zao wasanii wote wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi badala ya kuangalia majina yao tu.
Kotto alisema wapo wasani wengi waliokimbilia siasa lakini hawana na wala hawajui sera zao ni nini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, hivyo wananchi wanatakiwa kuwapima ndipo wawachague kwa ajili ya maendeleo yao ya miaka mitano ijayo.
“Uchaguzi huu umejumuisha wasanii wa kila aina,...