Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Geez Mabovu ameacha deni kwa vituo vya redio, kucheza nyimbo zake sasa hazililipi

Geez Mabovu amefariki katika kipindi ambacho kwa asilimia kubwa alikuwa amepotea kwenye masikio ya wengi. Na mara nyingi sababu za kupotea kwenye masikio ya watu ni kutochezwa kwa nyimbo za msanii katika vituo vya redio. Kwahiyo haimaanishi kuwa kupotea kwa msanii kwenye masikio ya watu kunatokana na ukimya wake mwenyewe bali ni kutopata nafasi ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Tutawalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao redio na kwenye TV – Ruge

Ruge

Mmoja kati ya wadau wakubwa wa muziki hapa nchini na Mkurugenzi wa Uzalishaji na vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema ujio wa kampuni ya kusimamia hakimiliki za kazi za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) wakishirikiana na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), utasaidia vituo vya redio na runinga kushindwa kukwepa kulipa mirahaba inayotokana na upigwaji wa nyimbo za wasanii.

Ruge

Akizungumza na CMEA hivi karibuni, Ruge alisema mfumo huo mpya utawasaidia...

 

11 years ago

Bongo5

Kituo cha redio chafukuza wafanyakazi wote 47 na kuamua kucheza nyimbo za Beyonce 24/7

Kituo cha redio cha huko Houston, Marekani kimewafukuza wafanyakazi wake wote 47 na kuamua kucheza nyimbo za Beyonce 24/7. News92 ilikuwa ni redio kwaajili ya habari peke yake. Uamuzi wa kubadilisha malengo ya kituo hicho umetokana na kituo hicho kukosa wasikilizaji. Uongozi unaamini kuwa kwa kupiga nyimbo za Beyonce wasikilizaji watavutiwa na kuiokoa redio hiyo […]

 

10 years ago

Bongo5

Breaking: Geez Mabovu afariki dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa rapper Geez Mabovu amefariki dunia leo mjini Iringa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Taarifa zaidi zinakuja. December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike […]

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA

Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

Marehemu Geez Mabovu azikwa Mlolo, Iringa

Mazishi ya rapper Geez Mabovu yamefanyika jioni ya Alhamis ya wiki hii kwenye makaburi yaliyopo eneo la Mlolo mjini Iringa. Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku […]

 

10 years ago

Bongo5

Weusi waahirisha show ya Mbeya kufuatia kifo cha Geez Mabovu

Weusi wamethibitisha kwa Bongo5 kuwa wameahirisha show yao ya Funga Mwaka iliyokuwa ifanyike jijini Mbeya Ijumaa hii kufuatia kifo cha rapper Geez Mabovu kilichotokea Jumatano jioni. Joh Makini amesema Geez alikuwa kama mtu wa familia yao. “Kusema na ukweli hatutaweza kufanya show ya Mbeya,” Joh Makini ameimbia Bongo5 kwa huzuni. “Ni kwasababu Geez ni mshikaji […]

 

10 years ago

Bongo5

Msiba wa Geez Mabovu: Young Killer aahirisha kuachia video ya 13 leo

Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani