Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afya ya Tuddy Thomas yaendelea kuimarika

Mtayarishaji wa muziki Tuddy Thomas aliyevamiwa hivi karibuni na vibaka na kukatwa mapanga akiwa nje ya maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam, anaendelea vizuri. Tuddy amesema tayari ameshaanza kufanya mazoezi madogo madogo ili kuimarisha afya yake. “Naendelea salama ingawa bado sijakaa vizuri, nafanya mazoezi, kwa sababu niliumia mikono yote,” Tuddy alikiambia kipindi cha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AFYA YA DK. CHENI YAENDELEA KUIMARIKA

Mama Lulu akizungumza na Dk. Cheni huku akila chakula alichompelekea. BAADA ya kukumbwa na gonjwa hatari la Dengu linaloenea kwa kasi na kusababisha hali yake kuwa mbaya, staa wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk . Cheni’ afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku. Leo kamera yetu ilitembelea kwenye hospitali ya Burhani iliyopo Posta alikolazwa na kumnasa mama wa staa wa filamu, Elizabeth Michael...

 

11 years ago

CloudsFM

NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA

Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekta ya afya kuimarika Dodoma

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa wa Dodoma, leo inatarajiwa kuzindua mpango wa kuimarisha sekta ya afya mkoani hapa. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATOLEWA NYUZI KATIKA MSHONO, AFYA YAKE YAZIDI KUIMARIKA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi.…
...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atolewa nyuzi katika mshono,Afya yake yazidi kuimarika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland...

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAENDELEA NA KAMBI ZA UPIMAJI AFYA KANDA YA ZIWA

Na Mwandishi Wetu
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), linaendesha  kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa kipindi cha mwezi mmoja.



Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na  kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa ujumla waweze kujenga  tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kujiwekea mfumo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa sugu yasiyoambukiza.



Zoezi ambalo lilianzia mkoa wa Mara na kupata mwitiko mkubwa wa wakazi wa Mara kwa kupima...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yaendelea kutoa somo kwa wadau wa afya jijini dar

Mratibu wa Mtandao wa Mfuko wa Afya ya Jamii (TNCHF), Camillius Haule (kulia) akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano kati ya Maafisa wa NHIF na wadau wao,juu ya Mpango wa Kikoa (Mutual Plan) unaoratibiwa na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Msimbazi Center,Ilala jijini Dar es Salaam.Wengine pichani ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda ya Temeke,Ellentruda Mbogoro (wa pili kulia),Afisa Uratibu wa NHIF kutoka Makao Makuu,Catherine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani