Benpol amnasa producer aliyewahi kufanya kazi na Jennifer Lopez na Trey Songz
Msanii wa muziki wa R&B Benpol ametumiwa beat na mmoja kati ya maproducer wakubwa wa muziki wa nchini Marekani ambaye ameshawahi kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Busta Rhymes, Jennifer Lopez, Trey Songz na wengine.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Ben Pol amesema kwa sasa deal hiyo imefikia katika hatua nzuri,huku akidai tayari ameshatumiwa beat kwa ajili ya kuanza kazi.
“Kuna kazi nafanya na producer mkubwa wa Marekani ila siwezi kumtaja, kwani ni mapema sana lakini tayari ameshafanya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Trey Songz ataka kufanya kolabo na Davido
STAA wa muziki wa R&B duniani, Trey Songz, kwa sasa yupo nchini Nigeria kwa ajili ya tamasha kubwa la muziki linalofanyika kila mwaka, Lagos, Nigeria lijulikanalo kama Pepsi Rhythm Unplugged 2015 na kuweka mikakati ya kutaka kufanya kolabo na staa wa muziki nchini humo, Davido.
Trey aliyasema hayo alipokuwa akitaka kupanda jukwaani kwa ajili ya kupiga shoo katika tamasha hilo ambapo alimwagia sifa Davido na kusema kuwa ni moja kati ya wasanii anaowakubali sana kwani ameweza kuubadilisha...
9 years ago
Bongo507 Nov
Trey Songz kufanya show nyingine Afrika mwezi December
![Trey Songz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Trey-Songz-300x194.jpg)
Mwimbaji wa RnB, Trey Songz kutoka Marekani anakuja tena Afrika, lakini safari hii anaenda Lagos, Nigeria ambako amethibitishwa kuwa atatumbuiza mwezi December katika tamasha kubwa la Rhythm Unplugged.
Tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka hukutanisha wasanii karibu wote wa A-List wa Nigeria, pamoja na msanii mmoja mkubwa kutoka nje. Mwaka huu litafanyika Ijumaa ya December 18.
Kwa mwaka huu, hii itakuwa ni mara ya pili kwa Trey Songz kufanya show Afrika, baada ya kutumbuiza Durban na...
9 years ago
Bongo510 Dec
Fid Q kufanya kazi na producer wa Kare ya P-Unit, Musyoka
![Fid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Fid-300x194.jpg)
Fid Q huenda akaungana na producer wa Kenya, Erik Musyoka kupika jiwe jipya.
Wawili hao walikutana kwenye Coke Studio Africa jijini Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa blog ya show hiyo, Musyoka alidai angependa kufanya kazi Fid Q baada ya kuvutiwa na uwezo wake. Wawili hao walizungumza kuhusu kufanya kazi pamoja.
Musyoka ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wanaoheshimika zaidi nchini Kenya. Miongoni mwa nyimbo alizozipika ni pamoja na Kare ya P-Unit. Mwaka jana pia Mwana FA na AY walifanya...
10 years ago
Bongo521 Aug
New Video: Trey Songz — What’s Best For You
10 years ago
Bongo503 Sep
Mr Nice arudi kufanya kazi na producer wake aliyemtoa, Kameta
9 years ago
Bongo515 Sep
Video: J.R. Ft Trey Songz — Best Friend
10 years ago
Bongo520 Nov
New Video: B.o.B Ft. Trey Songz — Not For Long
9 years ago
Bongo506 Jan
Video: Trey Songz – Blessed
![d81tBPh](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/d81tBPh-300x194.jpg)
Trey Songz is feeling “Blessed.” The R&B crooner reflects on an incredible 2015 in the video for his new song. The black-and-white clip starts with an emotional phone call between Trey and a family member. He then gives us a glimpse into his life over the past year, traveling across the globe—from London to Dubai—sailing on yachts with scantily-clad ladies, and partying with friends like Future and Timbaland.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...