Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kureshy arejea uwanjani

DSC04050

 Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kureshy Ufunguo (Kushoto) akioneshwa mipira inayofaa kwa ajili ya kufundishia watoto kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Picha na Mpiga Picha Wetu.)

DSC04052

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),Kureshy Ufunguo (Kulia) akipokea jezi kwa ajili ya kuanzisha shule ya mafunzo ya watoto wadogo.

DSC04056

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Kulia) akimkabidhi vifaa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lorraine arejea

MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano la Miss Grand International 2014, na kushika nafasi ya 20 bora mjini, Bangkok, Thailand, amerejea juzi jioni huku akiwashukuru watanzania kwa sapoti yao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Beckham kurejea uwanjani

David Beckham amedokeza kuwa huenda akarejea uwanjani huko Marekani .

 

11 years ago

BBCSwahili

Tofauti zazikwa uwanjani TZ

Viongozi wa dini ya kiislam na kikiristo nchini Tanzania walichuiana uwanjani kwa lengo la kuhamasisha Amani nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Guardiola arejea Barcelona

Uswisi Ni kama kocha Pep Guardiola amerejeshwa Barcelona kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya Bayern Munich na Barcelona unaoitwa fainali.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda arejea Dodoma

PG4A6734

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na viongozi wa mkoa   baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Dodoma   kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dr. Reema Nchimba (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

GPL

MATIC AREJEA CHELSEA

Kiungo raia wa Serbia Nemanja Matic amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu. Chelsea imekamilisha uhamisho wa kiungo raia wa Serbia Nemanja Matic kutoka klabu ya Benfica ya Ureno. Matic ambaye anarejea Chelsea baada ya kuihama akiwa ni sehemu ya uhamisho wa beki David Luiz,amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 21. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 tayari… ...

 

11 years ago

Vijimambo

KAGONJI AREJEA CCM


Mzee Charles Kagonji arudi CCM Uongozi mzima wa Jimbo la Mlalo warudi CCMKinana awapokea kwa mikono miwili Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiutangazia umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano Sunga kurejea rasmi kwa Charles Kagonji (mwenye shati la kitenge) kwenye Chama Cha Mapinduzi akitokea Chadema,wengine katika picha hii ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lushoto Balozi Abdi Hassan Mshangama
 Mzee Charles Kagonji...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro arejea Yanga

Beki wa kati ambaye ni nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anarudi uwanjani kuivaa Polisi Morogoro na kuahidi kuwapa raha mashabiki wao, lakini Mnyarwanda Mbuyu Twite bado hajaweza kurudi uwanjani.

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi arejea Simba

Uongozi wa Simba umemrudisha kundini mshambuliaji wake wa zamani, Emmanuel Okwi ukisema umechukua hatua hiyo: “Kumsitiri ili asipoteze kipaji chake” baada ya watani wake wa jadi Yanga, kumshtaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani