Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAGONJI AREJEA CCM


Mzee Charles Kagonji arudi CCM Uongozi mzima wa Jimbo la Mlalo warudi CCMKinana awapokea kwa mikono miwili Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiutangazia umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano Sunga kurejea rasmi kwa Charles Kagonji (mwenye shati la kitenge) kwenye Chama Cha Mapinduzi akitokea Chadema,wengine katika picha hii ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lushoto Balozi Abdi Hassan Mshangama
 Mzee Charles Kagonji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kagonji ahama Chadema, arejea CCM

Charles Kagonji ALIYEWAHI kugombea ubunge wa Mlalo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2005, Charles Kagonji amekihama chama hicho na kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Mwananchi

Nkumba arejea CCM, aibukia uzinduzi wa Magufuli

Aliyekuwa Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba ambaye alihamia Chadema hivi karibuni ameamua kurejea katika chama chake cha zamani kwa madai alikosea njia.

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere arejea CCM.

 Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Leticia Nyerere akinyanyua mikono ikiwa ni sehemu ya ishara ya kuondoka katika chama hicho na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati alipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.

 Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Leticia Nyerere akifafanua jambo kwa waandishi habari juu ya kuondoka katika chama hicho. Waandishi wa habari wakifuatilia kwa umakini maelezo ya Mbunge wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Aliyekuwa kada wa Chadema Ikungi, Singida, Hamisi Mazonge, arejea CCM na kukiomba radhi

DSC01397

Aliyekuwa katibu mwenezi CHADEMA kata ya Ikungi mkoani Singida, Hamisi Yahaya Mazonge, akitangaza uamuzi wake wa kuhama CHADEMA na kurejea CCM,  kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi nafasi ya ubunge na udiwani jimbo la Singida mashariki.Mazonge amedai kwamba amehama CHADEMA baada ya kubaini chama hicho hakina sera yoyote ya kuwaletea wananchi maendeleo.(Picha naNathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Ikungi

ALIYEKUWA Katibu mwenezi wa CHADEMA Kata ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lorraine arejea

MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano la Miss Grand International 2014, na kushika nafasi ya 20 bora mjini, Bangkok, Thailand, amerejea juzi jioni huku akiwashukuru watanzania kwa sapoti yao...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro arejea Yanga

Beki wa kati ambaye ni nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anarudi uwanjani kuivaa Polisi Morogoro na kuahidi kuwapa raha mashabiki wao, lakini Mnyarwanda Mbuyu Twite bado hajaweza kurudi uwanjani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Boateng arejea AC Milan

Mchezaji wa kimataifa wa Ghana Kevin-Prince Boateng amerejea katika klabu ya AC Milan ya Italia.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda arejea Dodoma

PG4A6734

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na viongozi wa mkoa   baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Dodoma   kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dr. Reema Nchimba (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Mwananchi

Guardiola arejea Barcelona

Uswisi Ni kama kocha Pep Guardiola amerejeshwa Barcelona kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya Bayern Munich na Barcelona unaoitwa fainali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani