Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lorraine arejea

MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano la Miss Grand International 2014, na kushika nafasi ya 20 bora mjini, Bangkok, Thailand, amerejea juzi jioni huku akiwashukuru watanzania kwa sapoti yao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LORRAINE ATUA NCHINI APONGEZA WATANZANIA

Lorraine Clement akimshukuru Mungu, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora. Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki alipowasili jijini…

 

11 years ago

Michuzi

LORRAINE ATUA NCHINI, ASHUKURU NA KUPONGEZA WATANZANIA

Lorraine akiwasili mudaLorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.
Na Andrew ChaleMWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014, na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana Oktoba 9...

 

9 years ago

Michuzi

Lorraine Marriot - Miss Universe Tanzania 2015

Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas - Official Photo Head shot

 

9 years ago

Global Publishers

Lorraine jukwaani Miss World Universe Marekani leo

lorraine 2
Mrembo anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World Universe 2015, Lorraine Marriott, leo anatarajia kupanda kujwaani jijini Las Vegas nchini Marekani kwenye fainali za michuano hiyo.

lorraine
Lorraine mwenye miaka 19 anapambana kuiwakilisha vyema Tanzania baada ya mwakilishi mwingine kutoka nchini, Lilian Kamazima kushindwa kufurukuta katika fainali za mashindano ya Miss World 2015 yaliyofanyika jana huko Sanya nchini China na Miss Hispania, Mireia Lalaguna Royo kuibuka kidedea.

GPL...

 

9 years ago

Dewji Blog

Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas

photographer_uploaded_1_79_0_1449785611_2015

Picha rasmi ya Lorraine Marriot – Mwakilishi wetu katika mashindano ya Miss Universe yanayofanyika Las Vegas nchini Marekani. (Picha imepigwa na Fadil Berisha).

 

11 years ago

Dewji Blog

Miss Grand Tanzania 2014, Lorraine Clement atua nchini apongeza Watanzania

Lorraine akiwasili muda

Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.

Na Andrerw  Chale

MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014,  na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana...

 

9 years ago

MillardAyo

Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani

Weekend hii itakuwa na headlines za urembo kwenye mataji mawili makubwa duniani, yani ni kwamba itashuhudiwa fainali ya Miss World ambayo itafanyika Dec 19 2015 ndani ya Sanya China, alafu siku inayofatia yani December 20 itakuwa ni fainali ya Miss Universe Marekani. Tanzania ina mwakilishi kwenye stage ya Miss Universe 2015 Marekani ambaye ni mrembo mwenye […]

The post Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Lorraine Marriot Miss Universe Tanzania 2015 ndani ya Las Vegas na Vazi la Taifa

debuts her National Costume on stage at Planet Hollywood Resort & Casino Wednesday, December 16, 2015. The 2015 Miss Universe contestants are touring, filming, rehearsing and preparing to compete for the DIC Crown in Las Vegas. Tune in to the FOX telecast at 7:00 PM ET live/PT tape-delayed on Sunday, Dec. 20, from Planet Hollywood Resort & Casino in Las Vegas to see who will become Miss Universe 2015. HO/The Miss Universe Organization

Lorraine Marriot (pichani) akiwa katika vazi la ubunifu la Taifa .Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa ‘Angel of Ivory’ maana inaonyesha Malaika wa Tanzania anayelinda Tembo wanaouwawa kwa ujangili kwa ajili ya biashara haramu ya pembe za ndovu.

Huyu malaika wa Tanzania yupo kwa ajili ya kuwalinda Tembo na rasilimali zetu na kuwaadhibisha majangili. Nguo yake imeshonwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa na hekaheka limebuniwa na Mwanakombo Salim. Pia kabeba...

 

11 years ago

Michuzi

MPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO MISS GRAND INTERNATIONAL 2014

HAYA HAYA WADAU TUMPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO KUBWA DUNIANI, MISS GRAND INTERNATIONAL 2014, LINALOFANYIKA BANGKOK, THAILAND, MWISHO WA KUPIGA KURA NI TAREHE 5 OCTOBER 2014 (3;00 PM BANGKOK TIME), UNAWEZA KUPIGA MARA NYINGI UWEZAVYO, MUWEZESHE LORRAINE KUINGIA KATIKA FINALISTS 15 BORA JINSI YA KUPIGA KURA BONYEZA LINK HIYO HAPA CHINI NA WEKA ALAMA YA VYEMA KWENYE JINA LA TANZANIA LORRAINE...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani