Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORRAINE ATUA NCHINI APONGEZA WATANZANIA

Lorraine Clement akimshukuru Mungu, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora. Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki alipowasili jijini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Miss Grand Tanzania 2014, Lorraine Clement atua nchini apongeza Watanzania

Lorraine akiwasili muda

Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.

Na Andrerw  Chale

MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014,  na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana...

 

10 years ago

Michuzi

LORRAINE ATUA NCHINI, ASHUKURU NA KUPONGEZA WATANZANIA

Lorraine akiwasili mudaLorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.
Na Andrew ChaleMWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014, na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana Oktoba 9...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA OMARI KIMWERI ATUA NCHINI NA MWANASOKA WA KIKE WA NCHINI HISPANIA

Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake Nchini Australi, Omari Kimweri, (kushoto) akiongozana na mgeni wake mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (wa pili kulia) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kupokelewa na kocha wa mchezo wa masumbwi, Rajabu Mhamila 'Super D' (wa pili kushoto).Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (kulia) akipeana mkono na kocha wa masumbwi nchi Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kuwasili katika uwanja...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani tarehe 10 Novemba, 2014 kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yao Mhe. Lu aliishukuru na kuipongeza Serikali ya Tanzania kwa msimamo wake kuhusu tuhuma dhidi yake na China kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na pia alisifu   jitihada za Serikali ya Tanzania katika kupambana na biashara hiyo na kusema China inaunga mkono jitihada hizo na ipo...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ PETER MOE ATUA NCHINI MAREKANI


Dj Peter Moe akiwa kwenye moja ya Hotel aliyafikia alipokua Washington, DC alipokua amekuja kwa kazi maalum nchini Marekani
Dj Peter Moe akipata picha ya kumbukumbu

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATUA NCHINI NA KUPATA MAPOKEZI YA NGUVU

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Diamond alivyotua na kupokelewa kwa nguvu jijini Dar es Salaam Desemba 2, 2014 akitokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia jumla ya tuzo tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujeruman atua nchini, aja na wafanyabiashara 14

Rais Joachim Gauck wa Ujerumani ameambatana na ujumbe mzito wa wafanyabiasha 14 katika ziara yake ya siku tano nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani