BONDIA OMARI KIMWERI ATUA NCHINI NA MWANASOKA WA KIKE WA NCHINI HISPANIA
Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake Nchini Australi, Omari Kimweri, (kushoto) akiongozana na mgeni wake mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (wa pili kulia) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kupokelewa na kocha wa mchezo wa masumbwi, Rajabu Mhamila 'Super D' (wa pili kushoto).Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (kulia) akipeana mkono na kocha wa masumbwi nchi Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kuwasili katika uwanja...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Mar
BONDIA OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU YA VIFAA KOCHA SUPER D
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines (kushoto) ambaye ni raia wa Hispania na bondia Omari Kimweri na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakiwa tayari kupanda ndege na kurudi kwao
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (kushoto) akimkabidhi glove kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati ni bondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchiniAustralia. Omari Kimweri ambaye aliongozana nchini na mwanasoka...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
Bondia mtanzania Omari Kimweri anayetesa Australia kutoa sapoti ya mafunzo ya ndondi Dar
NDONDI ni miongoni mwa michezo maarufu mno hapa Tanzania na duniani kwa ujumla.
Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia mchezo wa ndondi.
Miongoni mwa wanamichezo hao ni nguli Mohammed Ali, Mike ‘Iron’ Tyson, Evender Holyfield, Floyd Mayweather, Manny Pacquiao na wengineo wengi.
Kwa hapa nchini, wapo mabondia waliojitengenezea majina wakiwamo Emmanuel Mlundwa,...
9 years ago
Dewji Blog17 Aug
Dj wa kike kutoka Nigeria, maarufu ‘DJ Cuppy’ atua nchini afanya shughuli za kijamii
DJ Cuppy katika moja ya kazi zake..
Na Andrew Chale, modewjiblog (Dar es Salaam). Uenda ukapata maswali juu ya fani hii ya mukizi ambayo katika uwepo wake nafasi ya Udj ni miongoni mwa vitu vikubwa vinavyobeba ukuaji wa muziki hasa kwa msanii husika pindi awapo jukwaani ama katika shughuli zake za Sanaa. Katika hilo tumeendelea kushuhidia uwepo wa madj wakubwa wengi wao wakiwa ni jinsia ya kiume huku...
10 years ago
Vijimambo16 Feb
OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU VIFAA KOCHA KINYOGOLI
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania. kushoto akimkabidhi glove kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini zilizotolewa nabondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri katikati kwa kushirikiana na kocha Rajabu Mhamila 'Super D' Bondia Om ari Kimweri akimvisha mkanda wa ubingwa wa taifa Alphonce Mchumiatumbo baada ya kumtwanga Iddi Bonge kwa point Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia,...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Hamis Mrisho; Bondia anayechipukia nchini
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA HISPANIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO
10 years ago
Vijimambo07 Jan
DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
10 years ago
GPLLORRAINE ATUA NCHINI APONGEZA WATANZANIA