Bondia mtanzania Omari Kimweri anayetesa Australia kutoa sapoti ya mafunzo ya ndondi Dar
.Kutua Februari, apania kuzalisha akina Mayweather kibao nchiniOmari KimweriNA Mwandishi wetu
NDONDI ni miongoni mwa michezo maarufu mno hapa Tanzania na duniani kwa ujumla.
Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia mchezo wa ndondi.
Miongoni mwa wanamichezo hao ni nguli Mohammed Ali, Mike ‘Iron’ Tyson, Evender Holyfield, Floyd Mayweather, Manny Pacquiao na wengineo wengi.Kwa hapa nchini, wapo mabondia waliojitengenezea majina wakiwamo Emmanuel Mlundwa,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Mar
BONDIA OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU YA VIFAA KOCHA SUPER D
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines (kushoto) ambaye ni raia wa Hispania na bondia Omari Kimweri na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakiwa tayari kupanda ndege na kurudi kwao
10 years ago
VijimamboBONDIA OMARI KIMWERI ATUA NCHINI NA MWANASOKA WA KIKE WA NCHINI HISPANIA
10 years ago
Vijimambo16 Feb
OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU VIFAA KOCHA KINYOGOLI
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Mafunzo ya ndondi kwa vitendo kuanza leo Dar
SHIRIKISHO la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), leo linaanza kutoa mafunzo ya mchezo huo kwa vitendo kwa waamuzi na mabondia kwa lengo la kuuboresha. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa TPBC,...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Mtanzania anayetesa Afrika Kusini kwa kuendesha baiskeli
10 years ago
Habarileo20 Dec
Mtanzania afungwa maisha Australia kwa kuua wanawe
MTANZANIA Charles Mihayo (36), ambaye amechukua uraia wa Australia, amehukumiwa kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuua watoto wake wawili wa kike Aprili mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo11 Nov
BONDIA MTANZANIA FADHILI MAJIHA KUMSINDIKIZA MANNY PAQUAIO NOVEMBA 22 MACAO CHINA
Cotai Arena, Venetian Resort, Macao, Macao S.A.R., China mpambano ambao bonia mtanzania Fadhili Majiha atavaana na Jerwin Ancajas kutoka Philippines mpambano utakaokuwa wa raundi 8
mch
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/QKS3tVcNtePZR89_hw86OSObjCLrTlChvPZ8CJcZBmLHLMwaZ_dfDRO476PqZDBwYflxSPoiTevu-E_dEHi1CKUXXchrgNU3lPoeBpmbqV79Pr_XT8hHo0ItSa7VwGEmjfg=s0-d-e1-ft#http://roundbyroundboxing.com/wp-content/uploads/2014/10/pacquiaoalgieri.jpg)
10 years ago
Michuzi19 Dec
10 years ago
GPLWADAU KIKAPU DAR WAOMBA SAPOTI KUFUFUA MCHEZO HUO