WADAU KIKAPU DAR WAOMBA SAPOTI KUFUFUA MCHEZO HUO
Wadau mbalimbali wa mchezo wa basketball. Wanahabari toka vyombo mbalimbali wakiwa katika…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Katibu wa Baseball Tanzania akabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo huo jijini Dar
Bw. Alferio Nchimbi Katibu wa Chama cha Mchezo wa Baseball na Softball Tanzania akikabidhi vifaa vya michezo kwa wachezaji wa timu ya mchezo huo ya Tanzania inayotarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Uganda kwa ajili kambi ya mafunzo ya Meja League Base Ball Training Camp For Tryout (MLB) yatakayofanyika kuanzia tarehe 23-25 Agosti 2015 ambapo wachezaji watakaochaguliwa kutoka katika kambi hiyo watakwenda nchini Afrika Kusini kwa kwa mafunzo ya wiki mbili na baadaye wachezaji...
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Zonga: Uzembe, viwanja vinaua mchezo wa kikapu
9 years ago
MichuziWADAU WAJITOKEZA KUISAIDIA TIMU YA KIKAPU MBEYA
Na Emanuel Madafa, MbeyaWachezaji 22 wa mpira wa kikapu Mkoa wa Mbeya, tayari wamefanikiwa kuondoka mkoani humo kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Taifa CUP, yatakayofanyika Mkoani Dodoma November 22 hadi November 30 mwaka huu.Wachezaji hao walishindwa kusafiri mapema kuelekea mkoani Dodoma kushiriki mashindano hayo kutokana na kukabiliwa na uhaba wa fedha hali iliyofanya kuwepo na maandalizi hafifu.Aidha kufanikiwa kwa timu hiyo kunatokana na kujitokeza kwa Kampuni ya vinywaji...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ch-zO2OkuRY/ViTFg9f_hBI/AAAAAAAIA3g/O6ZrvVhbcd8/s72-c/Pix%2B1.jpg)
MSHAURI WA CHAMA CHA DUNIA CHA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU AKUTANA NA UONGOZI WA SEKTA YA MICHEZO NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-ch-zO2OkuRY/ViTFg9f_hBI/AAAAAAAIA3g/O6ZrvVhbcd8/s640/Pix%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-adab5LNSVoU/ViTFhbXy71I/AAAAAAAIA3k/dzv6kV1NOes/s640/Pix%2B2.jpg)
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …
Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]
The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Dewji Blog03 Jul
NHIF waomba wadau zaidi kuomba mikopo ya vifaa tiba
Meneja wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki,akitoa nasaha zake muda mfupi kabla hajamkaribisha kaimu katibu tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba,kufungua mafunzo ya siku moja kuhusu mikopo ianayotolewa na NHIF kwa watoa huduma katika vituo vya afya vya serikali,mashirika ya dini na binafsi yaliyosajiliwa.Wa pili kulia (aliyeketi) ni kaimu Katibu tawala mkoa wa Singida Aziza Mumba na wa kwanza kushoto ni Kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Mgetta.
Na...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
Bondia mtanzania Omari Kimweri anayetesa Australia kutoa sapoti ya mafunzo ya ndondi Dar
![](https://3.bp.blogspot.com/-W0lOaU1IF04/VKoU9uj9VaI/AAAAAAAAG0c/9pGg8y8LSGQ/s1600/kimweri.jpg)
NDONDI ni miongoni mwa michezo maarufu mno hapa Tanzania na duniani kwa ujumla.
Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia mchezo wa ndondi.
Miongoni mwa wanamichezo hao ni nguli Mohammed Ali, Mike ‘Iron’ Tyson, Evender Holyfield, Floyd Mayweather, Manny Pacquiao na wengineo wengi.
![](https://2.bp.blogspot.com/-jVGECxfX8ZQ/VKoNc3m3EAI/AAAAAAAAG0A/X05YNo9_STk/s1600/876159-7bcf965c-4826-11e3-add9-a931c5f36f4d.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Mfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya mfuko huo
MKUU wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao ya kustaafu (GEPF) sambamba na mabadiliko katika mfuko huo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa http://jamiiblog.co.tz/)
Meneja masoko wa mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika mkutano na wadau kutoka sekta mbalimbali uliofanyika jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali...