Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WAJITOKEZA KUISAIDIA TIMU YA KIKAPU MBEYA



 Na Emanuel Madafa, MbeyaWachezaji 22 wa mpira wa kikapu Mkoa wa Mbeya, tayari wamefanikiwa kuondoka mkoani humo kwa ajili ya  kushiriki mashindano ya Taifa CUP, yatakayofanyika  Mkoani Dodoma  November 22 hadi November 30 mwaka huu.Wachezaji hao walishindwa kusafiri mapema kuelekea mkoani Dodoma kushiriki mashindano hayo  kutokana na kukabiliwa na uhaba wa fedha hali iliyofanya kuwepo na maandalizi hafifu.Aidha kufanikiwa kwa timu hiyo kunatokana na kujitokeza kwa  Kampuni ya vinywaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kikapu wataja timu ya Taifa

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limewaita wachezaji 18 kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Kikapu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

18 wateuliwa timu ya taifa kikapu

SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu (TBF) limeteua makocha wa timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mapema mwakani. Makocha walioteuliwa ni Evarist Mapunda...

 

9 years ago

StarTV

Uhaba wa fedha Waikabili timu ya Kikapu mkoa wa Mwanza.

 Chama cha mpira wa kikapu  mkoa wa Mwanza MRBA kinakabiliwa na ukata wa fedha za kuendesha kambi ya timu ya mkoa inayojiandaa kwa michuano ya taifa cup itakayoanza novemba 21 mwaka huu mkoani Dodoma.

Katibu wa MRBA Shomari Almasi ametoa wito kwa wadau wa michezo mkoani hapo kukisaidia chama hicho ili kuiwezesha timu ya mkoa kushiriki vyema michuano ya Taifa CUP ambayo mkoa wa Mwanza umeshindwa kushiriki kwa miaka minne mfululizo.

 StarTV imefika katika viwanja vya BOT pasiansi Mwanza mahali...

 

10 years ago

GPL

WADAU KIKAPU DAR WAOMBA SAPOTI KUFUFUA MCHEZO HUO

Wadau mbalimbali wa mchezo wa basketball.
Wanahabari toka vyombo mbalimbali wakiwa katika…

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WAJITOKEZA KUMUONA DIAMOND SAFARI CLUB WENGINE WAKINUNUA TIKETI KWA WINGI

Shabiki wa Diamond Mariam Mashaka akiwa na tiketi 6 alizonunua siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 wakati alipokuwepo Safari Club na mgahawa wa Afrika mashariki walipokuja mashabiki wa Diamond kmsalimia lakini Diamond anawasili leo Jumamosi muda wowte kuanzia sasa.kutoka kushoto ni Rama Tonsa, Moses Iyobo, Dj Romy Jones na Bahia shabiki kutoka New York.Mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka akiwa na mwanae na Sunday Shomari wakiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wajitokeza kwa wingi tayari kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu, Dar

IMG_2969

Na Mwandishi Wetu.

Wadau wa Elimu ndani na nje ya nchi wamejiandikisha kwa wingi tayari kwa kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini ambayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, pamoja na kampuni ya uwakala wa vyuo vya nje Global Education link.

Maonesho hayo yanatarajiwa kuwa ya aina yake kuwahi kutokea nchini yanawashiriki kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi,Vyuo Vikuu vya ndani na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau Manyara wagombania timu

MGOGORO umeibuka juu ya umiliki halali wa timu ya Tanzanite FC ambayo ni mabingwa wa Mkoa wa Manyara, baada ya wadau wa soka katika mji mdogo wa Mirerani kuvutana na...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani