Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WAJITOKEZA KUMUONA DIAMOND SAFARI CLUB WENGINE WAKINUNUA TIKETI KWA WINGI

Shabiki wa Diamond Mariam Mashaka akiwa na tiketi 6 alizonunua siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 wakati alipokuwepo Safari Club na mgahawa wa Afrika mashariki walipokuja mashabiki wa Diamond kmsalimia lakini Diamond anawasili leo Jumamosi muda wowte kuanzia sasa.kutoka kushoto ni Rama Tonsa, Moses Iyobo, Dj Romy Jones na Bahia shabiki kutoka New York.Mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka akiwa na mwanae na Sunday Shomari wakiwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wajitokeza kwa wingi tayari kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu, Dar

IMG_2969

Na Mwandishi Wetu.

Wadau wa Elimu ndani na nje ya nchi wamejiandikisha kwa wingi tayari kwa kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini ambayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, pamoja na kampuni ya uwakala wa vyuo vya nje Global Education link.

Maonesho hayo yanatarajiwa kuwa ya aina yake kuwahi kutokea nchini yanawashiriki kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi,Vyuo Vikuu vya ndani na...

 

10 years ago

Michuzi

MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM  kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro mjini Dkt. Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa Wanachama na udhamini likiendelea katika Ofisi za CCM Wilaya ya Morogoro mjini.

 Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge...

 

10 years ago

Michuzi

MTWARA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMNINI DKT. MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mtwara.


 Mchakato wa udhamini ukiendelea kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Mtwara mjini.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM ya Morogoro Mjini Juni 24.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAONESHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI

 Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), katika maonyesho ya siku ya bahari duniani yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara Leo, Asubuhi.  Wananchi mbalimbali wakipewa machapishi na mtaalam wa Mamlaka ya  Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA), wakati walipotembelea banda la Mamlaka hiyo leo asubuhi, wakati wa maadhimisho ya siku ya bahari duniani yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara.(Habari Picha na Kitengo cha Mawasiliano...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MASASI WAMKUBALI MAGUFULI,WAJITOKEZA KWA WINGI BARABARANI KUMLAKI


   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKOA WA MARA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani) akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya mkoa huo mjini Musoma Jana, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,800 mkoani humo. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa Tabata Shule wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura yao. Mkazi wa eneo la Matumbi akipiga kura yake leo. Mkazi wa Kawe akipiga kura yake leo.

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam

WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani