Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa fedha Waikabili timu ya Kikapu mkoa wa Mwanza.

 Chama cha mpira wa kikapu  mkoa wa Mwanza MRBA kinakabiliwa na ukata wa fedha za kuendesha kambi ya timu ya mkoa inayojiandaa kwa michuano ya taifa cup itakayoanza novemba 21 mwaka huu mkoani Dodoma.

Katibu wa MRBA Shomari Almasi ametoa wito kwa wadau wa michezo mkoani hapo kukisaidia chama hicho ili kuiwezesha timu ya mkoa kushiriki vyema michuano ya Taifa CUP ambayo mkoa wa Mwanza umeshindwa kushiriki kwa miaka minne mfululizo.

 StarTV imefika katika viwanja vya BOT pasiansi Mwanza mahali...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Uhaba waikabili Muhimbili licha ya kupata Mashine Ya Kupumulia moja

 

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imepokea msaada wa mashine moja ya kupumulia lakini bado inakabiliwa na uhaba wa mashine hizo kwani kabla ya msaada huo ilikuwa na mashine 12 za zamani.

Kulingana na viwango vya kimataifa vya Shirika la Afya Duniani WHO, hospitali kama ya Muhimbili inatakiwa kuwa na vitanda 150 vya wagonjwa mahututi na mashine za kupumulia.

Mashine iliyotolewa msaada ni ya kisasa ikiwa na thamani ya Dola elfu 36 za Marekani, ambazo ni sawa na Shilingi milioni 80 za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

18 wateuliwa timu ya taifa kikapu

SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu (TBF) limeteua makocha wa timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mapema mwakani. Makocha walioteuliwa ni Evarist Mapunda...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikapu wataja timu ya Taifa

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limewaita wachezaji 18 kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Kikapu.

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WAJITOKEZA KUISAIDIA TIMU YA KIKAPU MBEYA



 Na Emanuel Madafa, MbeyaWachezaji 22 wa mpira wa kikapu Mkoa wa Mbeya, tayari wamefanikiwa kuondoka mkoani humo kwa ajili ya  kushiriki mashindano ya Taifa CUP, yatakayofanyika  Mkoani Dodoma  November 22 hadi November 30 mwaka huu.Wachezaji hao walishindwa kusafiri mapema kuelekea mkoani Dodoma kushiriki mashindano hayo  kutokana na kukabiliwa na uhaba wa fedha hali iliyofanya kuwepo na maandalizi hafifu.Aidha kufanikiwa kwa timu hiyo kunatokana na kujitokeza kwa  Kampuni ya vinywaji...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA UONGOZI WA FEDHA ZANZIBAR YAIFUNGA TIMU YA CHUO UTALII 2-1

Naibu Waziri akikagua timuNaibu W#aziri akikagua timu
Mashabiki wakiingia uwanjani.Wachezaji wa timu zote wakiingia uwanjani kucheza soka iliyiachezewa uwanja wa Aman anzibar.
Mashabiki wakiingia uwanja wa AmanNaibu Waziri wa Mifugo akisalimiana na marefaMahsahibi wakiwa wakiwauwanjani

 

11 years ago

Mwananchi

Uhaba wa fedha waathiri wagonjwa Zanzibar

Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Kidongochekundu, wamekuwa wakipewa mlo mmoja kwa siku katika kipindi cha mwaka mmoja na wakati mwingine kulala giza kutokana na Wizara ya Afya Zanzibar kushindwa kutoa fedha za matumizi kwa muda mwafaka, imefahamika visiwani humu jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uhaba wa fedha kuathiri mechi za Malawi

Malawi imetangaza kuwa huenda ikashindwa kushiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la bara afrika mwaka 2015.

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA

  Wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya pamoja yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kati yao na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi huu. 
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani