Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa fedha kuathiri mechi za Malawi

Malawi imetangaza kuwa huenda ikashindwa kushiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la bara afrika mwaka 2015.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uhaba wa fedha waathiri wagonjwa Zanzibar

Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Kidongochekundu, wamekuwa wakipewa mlo mmoja kwa siku katika kipindi cha mwaka mmoja na wakati mwingine kulala giza kutokana na Wizara ya Afya Zanzibar kushindwa kutoa fedha za matumizi kwa muda mwafaka, imefahamika visiwani humu jana.

 

9 years ago

StarTV

Uhaba wa fedha Waikabili timu ya Kikapu mkoa wa Mwanza.

 Chama cha mpira wa kikapu  mkoa wa Mwanza MRBA kinakabiliwa na ukata wa fedha za kuendesha kambi ya timu ya mkoa inayojiandaa kwa michuano ya taifa cup itakayoanza novemba 21 mwaka huu mkoani Dodoma.

Katibu wa MRBA Shomari Almasi ametoa wito kwa wadau wa michezo mkoani hapo kukisaidia chama hicho ili kuiwezesha timu ya mkoa kushiriki vyema michuano ya Taifa CUP ambayo mkoa wa Mwanza umeshindwa kushiriki kwa miaka minne mfululizo.

 StarTV imefika katika viwanja vya BOT pasiansi Mwanza mahali...

 

9 years ago

Vijimambo

ANGALIA MECHI NZIMA YA TANZANIA NA MALAWI ILIYOCHEZWA JUMATANO OCT 7, 2015 UWANJA WA TAIFA



Mabao ya washambuliaji nyota wa TP Mazembe, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu, yalitosha kuipa Taifa Stars ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Malawi katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi 2018 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Ushindi huo ni wa kwanza kwa kocha mkuu mpya, mzawa Boniface Mkwasa tangu akabidhiwe mikoba Juni 21 mwaka huu na ni wa kwanza kwa timu hiyo ya taifa ya Tanzania mwaka huu baada ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mgogoro kuhusu amri ya kutotoka nje Malawi na mipango ya kuwalipa raia fedha

Kumekuwa na kutoeleweka kwa katiba kuhusu uamuzi wa serikali wa kutaka kuweka marufuku ya watu kutotoka nje ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa corona

 

11 years ago

TheCitizen

Malawi’s President Banda declares Malawi election ‘null and void’

Malawi’s President Joyce Banda on Saturday declared this week’s chaotic election “null and void” and called for a fresh vote, throwing the impoverished nation into crisis.

 

11 years ago

Malawi Today

Deadlock in Malawi and Tanzania on Lake Malawi border mediation talks


Coastweek
Deadlock in Malawi and Tanzania on Lake Malawi border mediation talks
Malawi Today
Mediation talks between Malawi and neighbouring Tanzania on the border dispute over Lake Malawi ended in a deadlock last week. Head of the mediating team, former Mozambican President Joaquim Chissano is quoted by allafrica.com as having publicly ...
Tanzania: After Two Days, No Agreement Over Lake NiassaAllAfrica.com
Dar firm on border claimDaily News
Tanzania, Malawi fail to reach agreement on border...

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWASILI MALAWI KUMWAKILISHA MHE. RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA BALOZI WA MALAWI NCHIN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Blantyre nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Marehemu Flossie Gomile-Chidyaonga aliyefarikii dunia tarehe 09 mei, 2014 Jijini na Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa tarehe 14 Mei, 2014. Mhe. Membe anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi hayo. 
Balozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani