Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa fedha waathiri wagonjwa Zanzibar

Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Kidongochekundu, wamekuwa wakipewa mlo mmoja kwa siku katika kipindi cha mwaka mmoja na wakati mwingine kulala giza kutokana na Wizara ya Afya Zanzibar kushindwa kutoa fedha za matumizi kwa muda mwafaka, imefahamika visiwani humu jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uhaba wa watumishi waathiri hospitali, vituo vya afya

UHABA wa watumishi katika hospitali na vituo vya afya mkoani Rukwa umetakiwa kutatuliwa haraka kuleta ufanisi katika utekelezaji wa kampeni ya kukomesha vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

 

10 years ago

Habarileo

Ucheleweshaji wa fedha waathiri halmashauri Rukwa

KILIO cha ucheleweshaji au utoaji pungufu wa fedha za bajeti kutoka serikali kuu kimeendelea kutawala halmashauri zote katika Mkoa wa Rukwa, ambazo watendaji wake wameomba juhudi zifanyike kunusuru miradi ya maendeleo kukwama.

 

9 years ago

Habarileo

Ukosefu wa fedha waathiri Hospitali ya Mkoa Dodoma

HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inakabiliwa na changamoto kubwa ya kifedha, hali iliyosababisha kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa baadhi ya miundombinu hospitalini hapo yakiwemo majengo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walalama uhaba wa dawa, huduma duni

Mikoani. Uhaba wa dawa unaozikabili hospitali mbalimbali za Serikali nchini, umesababisha kilio kutoka kwa wagonjwa ambao wamekuwa wakifika kutafuta tiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uhaba wa fedha kuathiri mechi za Malawi

Malawi imetangaza kuwa huenda ikashindwa kushiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la bara afrika mwaka 2015.

 

11 years ago

Michuzi

Upepo Mkali waathiri nyumba Kwaalamsha, Makadara na Mkele, Wilaya ya Mjini, Zanzibar

Na Othman Khamis Ame wa OMPR Jamii Nchini imetahadharishwa kuwa makini katika kipindi hichi kilichoanza cha msimu wa mvua za masika ambacho kimezoeleka kuwa na matukio mbali mbali ya maafa yanayoleta athari kwa wananachi.  Tahadhari hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akiwafariji wananchi waliokumbwa na maafa kufuatia Upepo Mkali ulioambatana na mvua jana jioni katika maeneo ya Kwaalamsha, Makadara na Mkele ndani ya Wilaya ya Mjini....

 

9 years ago

StarTV

Uhaba wa fedha Waikabili timu ya Kikapu mkoa wa Mwanza.

 Chama cha mpira wa kikapu  mkoa wa Mwanza MRBA kinakabiliwa na ukata wa fedha za kuendesha kambi ya timu ya mkoa inayojiandaa kwa michuano ya taifa cup itakayoanza novemba 21 mwaka huu mkoani Dodoma.

Katibu wa MRBA Shomari Almasi ametoa wito kwa wadau wa michezo mkoani hapo kukisaidia chama hicho ili kuiwezesha timu ya mkoa kushiriki vyema michuano ya Taifa CUP ambayo mkoa wa Mwanza umeshindwa kushiriki kwa miaka minne mfululizo.

 StarTV imefika katika viwanja vya BOT pasiansi Mwanza mahali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani