Ucheleweshaji wa fedha waathiri halmashauri Rukwa
KILIO cha ucheleweshaji au utoaji pungufu wa fedha za bajeti kutoka serikali kuu kimeendelea kutawala halmashauri zote katika Mkoa wa Rukwa, ambazo watendaji wake wameomba juhudi zifanyike kunusuru miradi ya maendeleo kukwama.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Ucheleweshaji fedha kikwazo afya bure
CHANGAMOTO zinazojitokeza kwenye mpango wa serikali wa kutoa huduma za afya bure katika makundi maalumu zinachangiwa na serikali kushindwa kufikisha fedha za mpango huo kwa wakati. Hayo yalibainishwa jijini Dar...
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
CCM yalalamikia ucheleweshaji wa fedha za miradi
NA THEODOS MGOMBA, KONDOA
SERIKALI imeshauriwa kutoa fedha kwa wakati kwenda katika halmashauri baada ya bajeti yake kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Gwandi kilichoko wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Kinana alisema kumekuwepo na ucheleweshaji wa miradi mbalimbali ya serikali kutokana na fedha kutofika kwa wakati katika halmashauri nyingi.
Alisema hali hiyo imekuwa ikirudisha nyuma kasi ya maendeleo katika maeneo...
11 years ago
Mwananchi07 Jun
Uhaba wa fedha waathiri wagonjwa Zanzibar
9 years ago
Habarileo06 Sep
Ukosefu wa fedha waathiri Hospitali ya Mkoa Dodoma
HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inakabiliwa na changamoto kubwa ya kifedha, hali iliyosababisha kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa baadhi ya miundombinu hospitalini hapo yakiwemo majengo.
9 years ago
Habarileo13 Dec
CCM yaongoza halmashauri 3 Rukwa
MADIWANI wa Halmashauri tatu kati ya nne mkoani Rukwa wamefanya uchaguzi wa kuchagua wenyeviti na makamu wenyeviti ambapo CCM imeibuka kidedea kwa kushinda nafasi hizo kwa kishindo.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Fedha za shule kutopelekwa halmashauri
SERIKALI sasa inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kupeleka fedha za ruzuku katika shule za msingi na sekondari nchini moja kwa moja kwenye akaunti ya shule badala ya kupitia katika halmashauri. Hayo yamebainishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Takukuru yapewa rungu fedha za halmashauri
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala imetaka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuanzisha dawati maalumu katika Wizara ya Fedha, kufuatilia kwa karibu fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bZVCQPV1v1k/XuO7eSqgBLI/AAAAAAALtoY/tWKX7jqnyGod___qFvNIC3ETFE2gUhAbACLcBGAsYHQ/s72-c/9039016d-a572-4e22-bec2-8f0a3e6f8315.jpg)
Waalimu wastaafu Mkoani Rukwa wadhulumiwa zaidi ya Shilingi milioni 96 fedha za SACCOS
![](https://1.bp.blogspot.com/-bZVCQPV1v1k/XuO7eSqgBLI/AAAAAAALtoY/tWKX7jqnyGod___qFvNIC3ETFE2gUhAbACLcBGAsYHQ/s640/9039016d-a572-4e22-bec2-8f0a3e6f8315.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/4b897023-89b8-4a47-b2be-aeb7ed77d998.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Waalimu Nkasi Teachers SACCOS Gideon Ngorogoro kiasi cha Shilingi 39,756,250 kwaajili ya kuzirudisha kwa waalimu wastaafu wa chama hicho.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/7a4977f7-96c0-414d-a77c-6c63cf93936b.jpg)